maji ya moto yamekuwa baridi ,la la la,
hakimu nimekuwa shahidi,la la la,
wiki ikishusha mateso zaidi,la la la,
alonilaza ndio wa kunifariji,
(chorus)
waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane
verse1
yamedhibitisha macho,
lakini moyo unakataa,
nimeamini kikulacho,
ni yule unaona anayekufaa,
nilifumba mboni zangu,
kwa wengine nimuone yeye tu,
nikamwaga jasho langu,
japo kidogo nile na yeye tu
mwambie awe huru ila sitolalama,
aaaah-aaah,
sitaki kukufuru wafunge ndoa salama,
aaah -aaaah,
(chorus)
verse 2
anaepanga kugawanya,
uaga ni mungu baba,
kato siwezi kulalama,
riziki ni mafungu saba,
nimejitahidi sana ,
uhenda sikumridhisha labda,
ila kinachonichanganya ,
hakuniambia kabla,
tena nakupa maua wapelekee,
wasije yatupa naomba wayapokee,
aah,nasuna nitafunga usiku niwaombee,
awape baraka muumba watoto awaletee,
eeh ah
waache waoane
oh,salimini salama,
waache waoane
wawe baba na mama,
tena naaka na,
waache waoane
hakusitwa sutwa,
waache waoane ,
maji ya moto yamekuwa baridi ,la la la,
hakimu nimekuwa shahidi,la la la,
wiki ikishusha mateso zaidi,la la la,
alonilaza ndio wa kunifariji,
(chorus)
haha japo moyo wangu kitekite,
moyo wangu kitekite,
ya arabi moyo,kitekite,
taratibu nitazowea,
moyo kite-ee,
moyo wangu kitekite,
mwenzenu moyo,kitekite,
taratibu nitazowea,
oh mama moyo kitekite ,
moyo hii kitekite,
oh moyo kitete ,taratibu mama,
Pale Diamond anaimba ivi...
ReplyDelete"Anayepanga kugawanya huwaga ni Mungu baba"
"Katu siwezi kulalama, riziki mafungu saba"
"Nimejitahidi sana huenda sikumridhisha labda"
"Ila kinachonchanganya, hakuniambia kabla... "
" Tena nakupa maua wapelekee"
"Wasije yatupa, naomba wayapokee"
"Na suna ntafunga, usiku niwaombee"
"Awape baraka Muumba watoto awaletee"
Aaaah aaaah.. . Waache waoane...
Aaah salimini salama, waache waoane.. .
Aaaah wawe baba na mama... waache waoane.. .
Tena naka na nini, waache waoane...
AKU SINTOWASUMBUA...