ACHA NIENDE LYRICS BY BARAKA DA PRINCE


verse 1
Ni vyepesi kufuata nyayo za upepo
kuliko kuukumbata aah
kujitoauwepo na kukupa thamani
ambaye ulishindikana
ilijulikana kwa kuamini
ungebadilika
na naamini ulilijua
kwa vile nilipenda
ikawa sababu ya yote ni kuyavumilia
malipo ya ule upendo
ikawa (pigo)
ikajutia nafsi yangu
ukawekeza chuki kwa moyo wangu
ikawa (pigo)
nakujutia uwepo wako
japo niliamini wewe ni wangu kwa kujipa imani
changu ni changu
dunia ya leo mapito labda
kesho ningeipata ile thamani

Chorus
acha niende utavumilia
utavumilia aah
acha niende mimi utavumilia
moyo utakusahau
acha niende utavumilia
wangu utavumilia aah
acha niende
utavumilia
moyo utakusahau

tuluuuu eii ee mhh ahh
tuluuuu eii ee mhh ahh

verse 2
heri ya mzigo wa punda
kuliko fundo la penzi
halibebeki
kwao ni sawa chipsi fungu
isiyo na hili ingewezekana wapi
sikujua we ngao msaliti
nawe mengi ulinificha
ndo maana mia
nikakupenda vile
hivi sababu ilikuwa ni nini?
ungeniambia eeh
mbona mengi nilitenda juu yako wee
ukalipa vile na
malipo ya ule upendo
ukawa (pigo)
ikajutia nafsi yangu
ukawekeza chuki kwa moyo wangu
ikwa (pigo)
na kujutia uwepo wako
japo niliamini wewe ni wangu kwa kujipa imani
changu ni changu
dunia ya leo mapito labda
kesho ningeipata ile thamani
 

Chorus
acha niende utavumilia
utavumilia aah
acha niende mimi utavumilia
moyo utakusahau
acha niende utavumilia
wangu utavumilia aah
acha niende
utavumilia
moyo utakusahau

ukitaka mali zangu nitakuachia
kila kitu nitakuachia
ata nyumba yangu wee
ila mwisho roho yangu utatulia
oh mali zangu nitakuachia
hata gari langu nitakuachia
moyo wangu mie niachie

Chorus

acha niende utavumilia
utavumilia aah
acha niende mimi utavumilia
moyo utakusahau
acha niende utavumilia
wangu utavumilia aah
acha niende
utavumilia
moyo utakusahau

No comments:

Post a Comment