JIKE SHUPA LYRICS BY NUH MZIWANDA FT ALIKIBA

DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE 
 
Nipeleke kwa mganga , na mimi nataka wanga
maana mapenzi yamenikoroga kinoma,
(anachanje chale mwili mzima,
nisimkumbuka ata jina, yule hasidi
gaidi wa moyo wangu) X 2

(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue) X 2

eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi..

ulijidai kunipima akili  kwamizani
kuniendesha kama toy, kukosa nuru kutwaa kizani,
ukanikinai na aibu kunitia hadharani,
kuiniona sifahi masikini nimekosa nini.

(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue) X 2

[chorus]
eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi..

Inauma X3

3 comments:

  1. inauma...inaumaaaaaa.....track ime simama

    ReplyDelete
  2. kule kukusifia mabaya kukufichia...

    sasa basi nmekukopesha mwili wangu...
    lyrics ilienda shule like that part...as it flow

    ReplyDelete