MATATIZO LYRICS BY HARMONIZE



 verse 1
Aiee ma, olelelele
alfajiri imefika, anga inang'aa
mvua inaanza katika,
ghafla tumbo la njaa,
naweka sauti kwa spika
nipate umbea wa dar
mara simu inaita
jina la anko twah akisema,
mama yu hoi kitandani,
mama si wa leo wa  kesho
na kupona sizani upate japo neno la mwisho

 [chorus]
Mi ndo mtoto wa pekee
nyumbani wananitegemea,
mdogo wangu wa kike aliduni alishaga olewa
tizama jasho langu la mnyonge,
kipato hakikidhi mahitaji,
napiga moyo konde,
Yarabi mola ndio mpaji

Matatizo, yatakwisha lini
Matatizo, kila siku mimi
Matatizo, yatakwisha lini
Japo likizo nifurahi na mimi.
 verse 2
mola aliniumba na subira ,
imani pekee ngao yangu,
mbona nishasali sana ,
ila bado tafarani,
mama kanifunza kikabira,
ikunde sanda haimi yangu,
tena nijitume sana,
na vya watu nisivitamani
ata mpenzi nilonaye,
najua siku atanikimbia,
itanitesa ye ndio nguzo oh
zile ngoja kesho baadaye,
atachoka kuzivumilia,
anakosa ata matunzo -oh,
ona aa,nadaiwa kodi nilipopanga ,
nashinda rodi nikiranda,
nishapiga hodi kwa waganga,
kwa kuhisi narogwa,
nikauza maji na karanga,
nikawa dobi kwa viwanda,
ila kote ziro ni majanga,
mtindo mmoja,

( chorus)


DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE

8 comments:

  1. nyce song team wasafi clasic
    ™hermonize
    ™emmacue niko njiani naaja ila musinisubiri tutajaa patana kwa njia moja au .ingine

    ReplyDelete
  2. I like the song but I cant understand the language

    ReplyDelete
  3. Enter your comment hata,mpenzi nilonaye najua siku atanikimbia itaniteza ...

    ReplyDelete
  4. i love this song but i dont know kiswahili am ugandan

    ReplyDelete
  5. Great song which is underlined by sadness I am not from this part of the world but from the video I can tell the story...........

    ReplyDelete
  6. the boy is taking over bongo industry

    ReplyDelete
  7. My all time favourite team wcb This music is just of its own world , awesome .

    ReplyDelete