TAKE IT SLOW LYRICS BY ZIKKI ft JAGUAR

 
DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE 


 



Swahili                   
 Verse1
Mapenzi ni bahari, lisilo na mwisho,
mapenzi ni moto,
kwangu na haichomi ,
nimempenda msichana ,wa kisonko,
nilimuona kwenye ndoto usiku ,
nikiwa ghetto ye huishi runda ,
kwetu ni dandora,
kunarushwa makombora,
 na kumenjaa wakora
lakini je ye anakupenda,
 najua we unampenda,
basi nenda polepole,
 siku moja utampata,





(refrain)
mpenzi wangu never,
mpenzi wangu twende polepole
(take it slow,a single step by step)x2

Verse2
(anabonga tu kilami,na hapendi mama pima,
hapendi za madondo,anataka tu mapizza)x2
enda polepole bado ninasaka,
chochote unataka,with time utapata
hakuna matatax3
enda polepole, bado ninasaka

(refrain)




8 comments: