HAPPY BIRTHDAY LYRICS BY HARMONIZE

Bonyeza hapa kupakua wimbo wa Happy Birthday

kwanza nina furaha,
nitaimba na kucheza (na kucheza)
washa mishumaa,
weka keki juu ya meza, (juu ya meza)
oh ila usinicheke,
nimekuletea zawadi,
kidogo nlichobarikiwa
aki mwana mpweke,
aje na dumu la maji asijekumwagia
ah nakapicha kao nitakoposti,
wasikupenda itawacosti,
ah leo siku yako nishajikoki,
tuko rafiki zako tunasema

happy birthday
happy birthday to you X4

ah sinywagi pombe leo ntalewa
niwape shonde waliochelewa
zikinipanda monde nitapepewa
ah pembe la ng'ombe au malewa
ila usiforget, kusema asante baba na mama
walokukuza ukakua
tunakupa na keki kwa wema
 akulinde baba maulana
twakuombea na dua


ah na kapicha kako ntakaposti,
wasikupenda itawacosti,
ah leo siku yako nishajikoki,
tuko rafiki zako tunasema
happy birthday
happy birthday to you X4

kata keki kata,
kata
kata
kata
kata unilishe

3 comments: