ACHA NILEWE LYRICS BY HARMONIZE



mmmm
mwambie aniachie umerudi 
na ubani ii
nimesali eeh
atimize kusudi 
lilo moyoni  ii
ufurahi eh 

maana atatembea  furaha
nayo imegeuka  simanzi
umenipa jeraha *pili iliyofanya nilie mapenzi
nashindwa ata kula 
mimi sipati usingizi 
dunia mduara mpaka mi kulipiza siwezi
pesa hazikuwa tatizo, 
nlimpatia kila hitaji la moyo wake
na kama sura ndo kigezo 
aliniambia mi ndio chaguo lake 

acha nilewe 
mie nilewe
acha nilewe 
mi nina mawazo  
acha nilewe 
ohnilewe
acha nilewe 
  niyapoteze mawazo

mpenzi upepo wa bye
leo kusimama shwari
akiamungu sikujua
tizama usiku silali
tena nakesha nikisali
nachotesa mazoea

kumbe kosa la moyo wangu
ni kumpenda kwa dhati 
nikataka awe wangu na nikaapa simwachi
liicha ya pendo langu
ila bado alinitaki 
iwapi dhamani yangu ama sina maana 
yarabi njoo baba


pesa hazikuwa tatizo, 
nlimpatia kila hitaji la moyo wake
na kama sura ndo kigezo 
aliniambia mi ndio chaguo lake 

acha nilewe 
mie nilewe
acha nilewe 
mi nina mawazo  
acha nilewe 
ohnilewe
acha nilewe 
 niyapoteze mawazo

oh niache, 
niache niache
eh niache, 
niache niache
oh niache, 
niache niache


 



 

No comments:

Post a Comment