HAYAWANI LYRICS BY NYASHINSKI
Kabla suala ukamilishe mama
tafadhali mola mwambie
milele anichunge mi nisije zama
mashetani yasinivamie
chuki wivu tunakutesa
linda kwako husiwasikie
kwanini sote hatuwezi kupendana
oh wenzangu acha niwaambie
labda sisi sote wendawazimu
labda laana yetu pesa
kesho ukipoteza kila kitu
dunia nzima itakucheka
wanaomba nitiliwe chai yangu sumu
wabaki hao ndo kusema
kesho wapigie demu wangu simu
asahau alivyonipenda
ona mahayawani aya aye iya
haya hao si watu hawa
aya aya iya
binadamu kageuka mnyama
hayawani hawa
hayawani hawa aya iya
hayawani hawa
hayawani hawa aya iya
tunaongezea nini bidii
na roho ya mwanadamu haitosheki aki
am sorry if i have never made you happy
i cant be there for everybody
its easy to see,
wengi huishi tu kutafuta kasoro kwako
why man so money minded
you wanna take from everyone
man eat man society
huoni aya kuivuja family
hamna utu ni kujifikiria tu
woi binadamu wote mgeuka hayawani
ona mahayawani aya aye iya
haya hao si watu hawa
aya aya iya
binadamu kageuka mnyama
hayawani hawa
hayawani hawa aya iya
hayawani hawa
hayawani hawa aya iya
Kabla suala ukamilishe mama
tafadhali mola mwambie
milele anichunge mi nisije zama
mashetani yasinivamie
chuki wivu tunakutesa
linda kwako husiwasikie
kwanini sote hatuwezi kupendana
binadamu acha niwambie
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol) Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol...
Nzuri sana big up brother.
ReplyDeleteNzuri sana big up brother.
ReplyDelete