ACHA KABISA LYRICS BY CHRISTIAN BELLA FEAT KOFFI OLOMIDE



zua nga foto, ale buka kigo, toseka muke

Ananipenda mimi, ninapenda yeye,
tunapendana , tumeshibana , tunaheshimiana,
walete maneno machungu, na fitana hatutoachana
na tena akiwa karibu yangu  ananimaliza,
ananidekeza ,namdekeza tunadekezana,
kidogo changu ni kikubwa kwake,
nakula naye iye iye

basi mpenzi njoo nikuvishe pete,
nikupeleke kwa baba na mama ,
ndugu jamaa, na marafiki wote,
wajue kwamba we ndio chaguo langu,
u mtima wanje iye,

 [CHORUS]
[(acha , acha, acha kabisa)
(acha , acha)] X 4

oh mummy, mi napenda kila saa uwe karibu  na mimi,

** ndani ye kolela nga ii
unataka nipate ugongwa ya presha, mapendi imenipeleka dunia gani ii

CHORUS

Zoungar photo, ale buka kigo
Tabia gani, kuingilia daily mapenzi ya watu,
fanyeni mnavyoweza,
mkijaribu hapa lazima mgonge mwamba,
si bora mchawi kuliko mnafiki,
jameni acheni tabia hizo.

CHORUS

Na meme mummy , we ni wangu we mummy,
nakupenda, tabia, tabia na sio sura yako, mama ya watoto,
kwako nimefika aah, chuba,
kila saa namwomba mola atuepushe na mabaya ya dunia,
Zoungar photo, ale buka kigo, toseka muke

ekotite X 4



No comments:

Post a Comment