WATAKUBALI LYRICS BY MBOSSO


aaah
uwowo wowo
wowowoh

asalale mungu akaninyima upole
hali yangu majalala mwari nilo kosa
mkole ,taminal mbagala ofisi
ya kila ndole nawakilisha mafala
wajinga wa kuja bongo
wageni wa dsm
vipi nitakizi mahitaji yako
yangu yananishinda ,hali mbaya
sina godoro na vipi kuhusu wazazi wako
kielimu mimi mjinga
japo mapenzi hayanaga kasoro
kama una kumbukumbu ata baba
yako nishawahi kumkaba alilia alilia
kwa uchungu na mama yako nilipompora zaga

je watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
wazazi wako
watakubali??
mi nawe hatulingani
watakubali??
hali yangu na yako eh

watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
waaaah
watakubali??
shida mama shidaa
watakubali
oooh

najua watamani tuoane miguu
yangu kutwa iko bizeee
sitaki ubaki mjane
kula kwangu hadi nikimbizwee
niendapo barabarani
husinisubiri nikikwambia ngoja
mana si kazi vitani
kufa ni tendo la mara moja  muda mwingine
shati begani pekupeku
utadhani nimerogwa
mguu nje mguu ndani difenda
inakubeba kaa mzoga
raha ya mapenzi ushemeji
kucheka dada na majirani
na nishafanywa kote majegejwa
hawanipendi mtaani
vipi nitakizi mahitaji yako
yangu yanishinda

hali mbaya
sina godoro na vipi kuhusu wazazi wako
kielimu mimi mjinga
japo mapenzi hayanaga kasoro
kama una kumbukumbu ata baba
yako nishawahi kumkaba alilia alilia
kwa uchungu na mama yako nilipompora zaga

je watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
wazazi wako
watakubali??
mi nawe hatulingani
watakubali??
hali yangu na yako eh
watakubali??
hivi unadhani
watakubali??
waaaah
watakubali??
shida mama shidaa
watakubali
oooh

1 comment: