SUU LYRICS BY YAMOTO BAND FT RUBY

We ruby karibu mkubwa na wanawe
(haya haya) x4

nachojua undugu ni ule wa damu,
kuzaliwa tumbo moja ,wewe na mimi hatunaga uharamu,
basi punguza uoga,nitakupa mapenzi matamutamu,
napendaga namba moja,pilipili yawasha lakini tamu,
tunapozaga na soda,nitamshawishi mama,
ampende sana babako,
tutakuchezea chezea mdogo mdogo utazoea

kupiga selfie selfie,kila siku hazina maana,
nitadodosha simu makusudi,
tuonekane hatuna maanax2
turuba initandikie,naamsha unisimamaie,
we mtoto wa baba eh,eh,eh,x2

undugu kaunganisha baba,kwa mama yenu nyie,
mnapaswa mniite dada,na mniheshimu mie,x2
kweli baba anaishi kwa mama yenu,
naomba sana dada yenu mniheshimu

hili zizi la kondoo dume,
we ni apple lazima uchumwe,
acha niombe mungu kidume,
 aye-ye -ye- ye,

suu -nitamwambia baba
nitamwambia baba
nitamwambia baba
mnanisumbua,x2

ruby mama kaniambia nioe,
nioe,nioe,
ila mimi nataka nikuoe wewe ruby,
ayii ruby !
basi punguza kiwewe, niruhusu ruby na mimi,
nikuite baby ,hapana ah
funika kombe mwanaharamu ,apite ,apite
mimi kwako nitakifanya chochote,chochote,
ruby si dada yangu kusema,
tumetoka wote kwa mama yangu ,
ukinipenda hakitokei chochote,
(pam-pam ru-ma,
mlango wa chuma ukiufungua ,hauna huruma,
mama anataka mjukuu ,yani ni kuweka usiku x2 )


wouh -wouh ,
iyoo mama ,
yo-iyo ,yo-iyo,
iyoo mama,mama eh,
kwanza moja nikwambie,
wewe unaendana na mie,
wengine we wakunjie,
ni mimi tu niwe na wewe,
nataka kukufurahisha baby,
komando nitalinda kidonda,
nzi wasije fonza,nitaumia,
iyoo-yo-yo-yo,

usiku waaga vinanitoka,
mi siri ya bomba nimefunguka,
nahisi waniita,
mwenzako pwa-ka-cha lishafunguka,

hili zizi la kondoo dume,
we ni apple lazima uchumwe,
acha niombe mungu kidume,
 aye-ye -ye- ye,

suu -nitamwambia baba
nitamwambia baba
nitamwambia baba
mnanisumbua,x2















No comments:

Post a Comment