PAKATE LYRICS BY OTILE BROWN


Waniona nakuangalia ,
na tayari ushajua kuwa naitaka ,yo
mimi ni mgeni huku na ata nilikotoka,
pia sijawahi ona kama yo,
nacho kiuno chako,unavyokizungusha roho yangu,
unairusha eh,unairusha oh mama,

mbona kuvava la mvuvi,
haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
njoo udensi na mtoto mjini
kuvava la mvuvi,
haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
njoo udensi na mtoto wa mjini

PRE-CHORUS:
eti ukisonga nami ntasonga,
hutaki niguse, nayashakoma,
usiwe na wasiwasi ma,
mimi nitafuata na unavyofanya
eti ukisonga nami ntasonga,
nami ukinipa pia sitakataa
usiwe na wasiwasi ma,
mimi nitafuta unavyofanya

CHORUS:
Mimi nataka nipakate 'si yake
pakate 'si yake eh,
pakate 'si yake,
mpaka jua lichomoze
ila sasa limetoka sitojua, eeh  x2

Mimi na wewe, eh eh eh x2

Mimi nahisi kama kuna sababu tunakutana,
mbona tunalingana,
mambo mengi tunalingana nawe,
basi taratibu usinikanyage,
nguo yangu usiichane,
nia yangu sio mbaya,
ninacho omba n' nafasi nikujue,
ohh ohh.

haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
njoo udensi na mtoto wa mjini
uvava na mvuvi,
haya mambo yanahitaji nyuza ya maji marefu,hauyawezi
njoo udensi na mtoto wa mjini,

PRE-CHORUS:
eti ukisonga nami ntasonga,
hutaki niguse, nayashakoma,
usiwe na wasiwasi ma,
mimi nitafuata na unavyofanya
eti ukisonga nami ntasonga,
nami ukinipa pia sitakataa
usiwe na wasiwasi ma,
mimi nitafuta unavyofanya

CHORUS:
[Mimi nataka nipakate 'si yake
pakate 'si yake eh
pakate 'si yake
mpaka jua lichomoze
ila sasa limetoka sitojua eeh] x2


Mimi na wewe eh ehe ehe x2

Eh nataka nikujue wewe
Mimi nataka n'kjue
Moyo wangu nikujue
sikatae niugue we

No comments:

Post a Comment