INDE LYRICS BY DULLY SYKES FT.HARMONIZE
Harmonize:
si sura tu,bali shapu na tabia,
alivyobarikiwa ah,sura na mola,
amemwona ,ni roho juu,
akiniangalia moyo unatulia,ni uzuri wakaona,
dully sykes
i say hi,hi kwanza nafurahi,
kato'ja kama mabo nipe kikombe cha chai,
najidai huku baby haifai,bila shy hi,
kwa madai mbona wamasaa,
PRE-CHORUS:
(we ni baby bila kipimio,
macho mpaka kisigingo,
nikumwagilie wino
yangu sio mbilikimo) x2
(anacheka, eh anacheka,
anade'nsi , eh anade'nsi) x2
CHORUS:
inde mama, inde x4
inde mama, inde x4
I say la lalala,kiuno chako propeller,
yako umeivisha better,uzuri mpaka unakera,
in the morning, unanipa bila shaka,
mwingine hapana taka,
kiunoni, baby wacha mashaka, mie hoi
mwenyewe sioni,una utamu wa mata'
natafuna ninavyotaka
nimo jangwani, nipatiwe wa arusha...
PRE-CHORUS:
(we ni baby bila kipimio,
macho mpaka kisigingo,
nikumwagilie wino
yangu sio mbilikimo) x2
(anacheka, eh anacheka
anadensi , eh anadensi) x2
CHORUS:
inde mama, inde x4
inde mama, inde x4
mtoto unavyonipamba, ninakwisha kabisa,
waka pabaya, pabaya x2
inde mama, inde x4
inde mama, inde x4
waka, waka x4
waka pabaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol) Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol...
No comments:
Post a Comment