Showing posts with label chege.diamond platnumz. Show all posts
Showing posts with label chege.diamond platnumz. Show all posts

WAACHA WAOANE LYRICS BY CHEGE FT.DIAMOND PLATNUMZ



maji ya moto yamekuwa baridi ,la la la,
hakimu nimekuwa shahidi,la la la,
wiki ikishusha mateso zaidi,la la la,
alonilaza ndio wa kunifariji,

(chorus)
waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane 

verse1
yamedhibitisha macho,
lakini moyo unakataa,
nimeamini kikulacho,
ni yule unaona anayekufaa,
nilifumba mboni zangu,
kwa wengine nimuone yeye tu,
nikamwaga jasho langu,
japo kidogo nile na yeye tu

mwambie awe huru ila sitolalama,
aaaah-aaah,
sitaki kukufuru wafunge ndoa salama,
aaah -aaaah,

(chorus)

verse 2
anaepanga kugawanya,
uaga ni mungu baba,
kato siwezi kulalama,
riziki ni mafungu saba,
nimejitahidi sana ,
uhenda sikumridhisha labda,
ila kinachonichanganya ,
hakuniambia kabla,

tena nakupa maua wapelekee,
wasije yatupa naomba wayapokee,
aah,nasuna nitafunga usiku niwaombee,
awape baraka muumba watoto awaletee,
eeh ah

waache waoane
oh,salimini salama,
waache waoane
wawe baba na mama,
tena naaka na,
waache waoane
hakusitwa sutwa,
waache waoane ,


maji ya moto yamekuwa baridi ,la la la,
hakimu nimekuwa shahidi,la la la,
wiki ikishusha mateso zaidi,la la la,
alonilaza ndio wa kunifariji,

(chorus)

haha japo moyo wangu kitekite,
moyo wangu kitekite,
ya arabi moyo,kitekite,
taratibu nitazowea,
moyo kite-ee,
moyo wangu kitekite,
mwenzenu moyo,kitekite,
taratibu nitazowea,
oh mama moyo kitekite ,
moyo hii kitekite,
oh moyo kitete ,taratibu mama,