SIWEZI LYRICS BY BARAKAH DA PRINCE

 

 verse 1
ulinipa donda ndugu,
donda ndugu ni ngumu kupona ila ,
siwezi sema sitopenda 
nitamshukuru mola unajua,
umenipa maumivu sugu,
maumivu sugu yasiyokwisha yote,
sababu ya kukupenda we,
sitochoka kukuombea kwa mola, 
akuzidishie,baraka ,
ata kukupenda wewe sichoki
najua kunipenda sio lazima ,
siwezi kuijenga chuki ,
maanake wajua ,
nilijipaje mwenyewe husije kunidhamini,


ila haukuwa na nafasi yangu wewe,
na mimi haukuwa fungu langu,
ah kungoja yote kwanini leo,
moyo wangu naupenda mie,
  
(chorus )
sitopunguza mapenzi,(nawe ) 
kukuchoka siwezi (nawe)
japo nimekosa penzi (nawe)
nitofariji moyo x2


verse 2 oh naumia sana moyoni we
umenipa msiba,msiba msiba bila kilio
umenivuta uzima ,
nikatoa machozi ka ya mtoto,
ata kama nikisema nipende kwingine ,
sina moyo moyo,
maana naona nitadanganya,
tatizo uliopenda ni moyo,
siwezi kubishana nao,
japo nafasi yangu kwako haikupatikana,
ila hongera kwa kuchukua usingizi wangu nashukuru mapema nilijua,
nipe nafasi yangu 
wema sio makabila nimeamua,
kuwapisha wenzangu,
nakujipa imani moyo wangu ,
utakusahau wewe ,  
haukuwa na nafasi yangu wewe,
na mimi haukuwa fungu langu,
ah kungoja yote kwanini leo,
moyo wangu naupenda mie,

 (chorus )
sitopunguza mapenzi,(nawe ) 
kukuchoka siwezi (nawe)
japo nimekosa penzi (nawe)
nitofariji moyo x4
 

No comments:

Post a Comment