verse1
hello ,
hapo vipi sijui unanisikia,
hello,nina maneno natamani kukwambia,
hello ,tafadhali husije nikatia,
hello mbona mpaka,nasahau kukusalimia
habari gani leo nimekukumbuka sana ,
na mama yaani,twakuwazaga,
vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana,
na aunt shani wao hujimwaga,
kile kidonda changu cha roho,
bado kinanitia taabu,
najihitahidi kukaza roho ,
ila nazidisha adhabu,
oh tena silali oh,nasubiri maajabu,
maumivu yangu hayajapata dawa,
( chorus)
Hallo , i miss you (nakukumbuka iye, iye)
i miss you (nakukumbuka iye, iye)
Hallo , i miss you (nakukumbuka iye, iye)
i miss you (nakukumbuka iye, iye)
ona roho yangu mama, pigiri pigiri,
nikikuwaza pigiri pigiri
nikisizia,pigiri pigiri payoyo
oh nikilala,pigiri pigiri ,
nikiota ndoto pigiri pigiri payoyo ,
aiyex2
verse 2
ni ngutu nguli ,nishapiga sana
yanga kuwaguwa , tia kufuli,
moyo hukusahau
na vyama kakuri, nusu kula nyama,
nikajisumbua, kumbe sifuri,
hakuna cha angalau
oh sijaweza nikufiche nisiseme,sijaweza
sijaweza
(chorus)
No comments:
Post a Comment