HISTORIA YA ALI KIBA

Ali Kiba; Nyota wa muziki aliyerudi kwa kasi katika kiti chake
Asilimia kubwa ya wapenda burudani Afrika Mashariki kwa sasa wanazungumzia kuhusu ujio wa msanii


Asilimia kubwa ya wapenda burudani Afrika Mashariki kwa sasa wanazungumzia kuhusu ujio wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Salehe Kiba, maarufu kama Alikiba.
Baadhi ya watu wamekuwa wakimlinganisha na mwanamuziki nyota kwa sasa Diamond Platnumz, ambaye naye kwa sasa yupo katika nafasi ya juu kimataifa kama ilivyokuwa kwa Alikiba miaka mitatu iliyopita.
Si kwamba ndiyo anaingia katika muziki, kwa watu wanaojua historia ya bongo fleva wanakumbuka kwamba kijana alikuwa tishio, kwani amekuwapo kwenye gemu tangu mwaka 2004 na kufanikiwa kutoa wimbo wake wa kwanza ambao ulimtambulisha uliojulikana kama ‘Cinderella’.
Baada ya kumaliza elimu ya kidato cha sita mwaka 2004, alianza kujituma katika muziki na kufanikiwa kuandika wimbo wake wa kwanza, ‘Maria’. Mwaka huohuo Alikiba alianza kutengeneza albamu yake ya kwanza. Ilipofika mwaka 2005, alipata ofa ya kwenda kuchezea soka la kulipwa nchini Uganda, lakini baadaye aliachana na mpira ili kuendeleza kipaji chake cha muziki.
Mwaka 2007 alifanikiwa kuachia albamu iliyopewa jina la ‘Cinderela’, sambamba na kuachia wimbo huo redioni, ambao ulivuma na kusababisha albam hiyo kuuzika zaidi sokoni. Albamu hiyo ilikuwa ni kati ya albamu bora na iliyouza zaidi mwaka 2007 Afrika Mashariki.
Tangu hapo akaanza kupokea mialiko mingi kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi. Aliifanya Afrika Mashariki kumjua kwa muda mfupi kupitia vibao kadhaa vilivyokuwepo katika albamu hiyo kama MacMuga, Nakshi Mrembo, Njiwa na Mali Yangu.
2008 Alikiba aliachia albamu ya pili ‘Alikiba 4 Real’ na wimbo wa kwanza kuachia ulikuwa ‘Usiniseme’ na wakati huu alikuwa ameshatangaza jina lake Afrika Mashariki na kwingineko.
Albamu hiyo ilimfanya aanze kuaminika zaidi, mwaka huohuo akateuliwa na kushinda tuzo za Kilimanjaro Music Awards kupitia wimbo wake wa Cinderella.

Aliendelea kutafutwa kwa ajili ya kusakata kabumbu ambapo mwaka 2009, alipokea maombi kwa ajili ya kuichezea timu ya African Lyon ya Tanzania lakini alikataa na kuamua kuingia kwenye mitindo ambako hakukumchukulia muda mwingi.
Akutana na R Kelly
Ilipofika mwaka 2010 ndipo alipopata dili la One 8 na kufanikiwa kufanya kazi na wanamuziki wa kimataifa akiwamo R Kelly na wengine saba kutoka Afrika. Alipokutana na R Kelly alimsifu kwamba ana sauti nzuri na ya kipekee, hivyo kupendekeza aanze kuimba katika singo ya pamoja ‘Hands Across the World’. Kupitia wimbo huo, mtandao maarufu wa kimuziki duniani Billboard walilitangaza kundi la One 8 kama “Best Bet of 2011” kupitia orodha ya nyimbo zao bora duniani.
Mwaka huohuo Alikiba aliteuliwa na kushinda tuzo ya BEFFTA London Awards kama ‘Best International Artists’ (ACT) na kumshinda mwanamuziki 2 Face Idibia. Pia alifanikiwa kurudi na tuzo ya Sexiest Male Artist.
Historia yake
Alikiba alizaliwa Iringa Novemba 26, 1986 kutoka kwa mama yake Tombwe Njere na Saleh Omari. Yeye ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wane katika familia yao, akifuatiwa na Abdu Saleh Kiba.
Muziki ni kati ya vitu ambavyo zimekuwa vikipendwa na mwanamuziki huyu tangu utoto wake.

EKOTITE LYRICS AND TRANSLATION BY KOFFI OLOMIDE

Ekoti te (you missed the shot).
Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto
(Dj Mopao the border of death, take a photo)
Tutu Roba
Veut dire oyo ako bina te aza muana ya nzambe te
(That means the one who will not dance is not the child of God)
Oyo ako bina te, aza mokristu te
(The one who will not dance is not a christian)
Ah Jesus seigneur, seke bien
(Oh Jesus lord, very well)
Ataku
Hamed Bakayoko, l’homme du peuple
(Hamed Bakayoko, the man of people)
Mbila alobi stope, allez temprorize
(The officer says stop, slow down)
Jean Francois Ndenge
Ndenge alobi stope, keba, allez temporize
(Ndenge says stop, careful, slow down)
Mbila alobi stope eh, allez temporize
(The officer says stop, slow down)
Mbila alobi stope eh, allez temporize
(The officer says stop, slow down)
Le boss Paul Obambi
(The boss Paul Obambi)
Zua nga foto
(Take a picture of me)
To seka moke, ha ha ha ha
(Let us laugh a bit, ha ha ha ha )
Buka kingo, ekoti te, ekoti te, ekotite…
(Turn your neck, you didn’t take, you didn’t take, you didn’t take)

ZIGO REMIX ( NAKULA KWA MACHO ) LYRICS BY AY FEATURING DIAMOND PLATNUMZ



Picha ninaanza nshadata
Picha ninaanza shawaka
Picha ninaanza nshachanganyikiwa
Picha ninaanza nshadata

Ona, kweli mie amenikamata
kwa jinsi navyomwangalia
akinipatia nami sitamwacha
kwa nyuma ananipa mineso
moyoni ananipa mateso
wa kishua ila matendo ya gheto
mtamu na hapendi vya dezo
nakula kwa macho
five star girl sio mchezo
ebu ona, ebu ona
kweli mie amenikamata
kwa jinsi navyomwangalia
akinipatia nami sitamwacha


Ana rangi fulani ya kimanga
lugha lafudhi ya kitanga
songea kapita na kanga
nyuma figisu majanga
Anamwendo wa kung'onya
Tena alivoshona umbo Kama katuni wa kuchora
Singida Dodoma kitandani sodoma
Kiuno Kama nyuki dondona
maneno ya watu, sumu yanagira
wasije leta referee ka mpira
chunga katu  usije ukanzira
kashikwa na uchizi yani utagira

Mtoto yani mukirii mukiree
Mpaka ndani shigidi shigidee
hasa akilikidi likide
yeye ndo mama chibudi chibude

kweli mie amenikamata
kwa jinsi navyomwangalia
akinipatia nami sitamwacha

(Too se ,Too sexy yah man
bouger bouger ya man
Mungu ameumba hapa yah man
Natamani nikaseme naye yah man) X 2
Naamini amezaliwa ili mimi niwe naye
mpaka sasa nimechanganyikiwa
mpaka yeye awe nami

Mtoto yani mukirii mukirre
Mpaka ndani shigidi shigidee
hasa akilikidi likide
yeye ndo mama chibudi chibude

Nahisiamezaliwa ili mimi niwe naye
mpaka sasa nimechanganyikiwa
mpaka yeye awe nami
iwe iwe iwe
iwe iwe i ndoto
nitampa utam yule binti
kisa nikikaa na wengine wanachukiza
shika leke diki ya man
ngoja niongeze bidii yah man
ukute hili zali langu yah man
nikapige masinemaree yah man
sheyatch!! Eh!!
(Nakula kwa macho
kwa macho )X3

kweli mie amenikamata
kwa jinsi navyomwangalia
akinipatia nami sitamwacha
 





SIWEZI LYRICS BY BARAKAH DA PRINCE

 

 verse 1
ulinipa donda ndugu,
donda ndugu ni ngumu kupona ila ,
siwezi sema sitopenda 
nitamshukuru mola unajua,
umenipa maumivu sugu,
maumivu sugu yasiyokwisha yote,
sababu ya kukupenda we,
sitochoka kukuombea kwa mola, 
akuzidishie,baraka ,
ata kukupenda wewe sichoki
najua kunipenda sio lazima ,
siwezi kuijenga chuki ,
maanake wajua ,
nilijipaje mwenyewe husije kunidhamini,


ila haukuwa na nafasi yangu wewe,
na mimi haukuwa fungu langu,
ah kungoja yote kwanini leo,
moyo wangu naupenda mie,
  
(chorus )
sitopunguza mapenzi,(nawe ) 
kukuchoka siwezi (nawe)
japo nimekosa penzi (nawe)
nitofariji moyo x2


verse 2 oh naumia sana moyoni we
umenipa msiba,msiba msiba bila kilio
umenivuta uzima ,
nikatoa machozi ka ya mtoto,
ata kama nikisema nipende kwingine ,
sina moyo moyo,
maana naona nitadanganya,
tatizo uliopenda ni moyo,
siwezi kubishana nao,
japo nafasi yangu kwako haikupatikana,
ila hongera kwa kuchukua usingizi wangu nashukuru mapema nilijua,
nipe nafasi yangu 
wema sio makabila nimeamua,
kuwapisha wenzangu,
nakujipa imani moyo wangu ,
utakusahau wewe ,  
haukuwa na nafasi yangu wewe,
na mimi haukuwa fungu langu,
ah kungoja yote kwanini leo,
moyo wangu naupenda mie,

 (chorus )
sitopunguza mapenzi,(nawe ) 
kukuchoka siwezi (nawe)
japo nimekosa penzi (nawe)
nitofariji moyo x4
 

HELLO LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ

 

                  verse1
hello ,
hapo vipi sijui unanisikia,
hello,nina maneno natamani kukwambia,
hello ,tafadhali husije nikatia,
hello mbona mpaka,nasahau kukusalimia
habari gani leo nimekukumbuka sana ,
na mama yaani,twakuwazaga,
vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana,
na aunt shani wao hujimwaga,
kile kidonda changu cha roho,
bado kinanitia taabu,
najihitahidi kukaza roho ,
ila nazidisha adhabu,
oh tena silali oh,nasubiri maajabu,
maumivu yangu hayajapata dawa,

( chorus)
Hallo , i miss you  (nakukumbuka iye, iye)
i miss you  (nakukumbuka iye, iye)
Hallo , i miss you  (nakukumbuka iye, iye)
i miss you  (nakukumbuka iye, iye)


ona roho yangu mama, pigiri pigiri,
nikikuwaza pigiri pigiri
nikisizia,pigiri pigiri payoyo
oh nikilala,pigiri pigiri ,
nikiota ndoto pigiri pigiri payoyo ,


             aiyex2
               verse 2

ni ngutu nguli ,nishapiga sana
yanga kuwaguwa , tia kufuli,
moyo hukusahau
na vyama kakuri, nusu kula nyama,
nikajisumbua, kumbe sifuri, 
hakuna cha angalau

oh sijaweza nikufiche nisiseme,sijaweza
sijaweza


              (chorus)


 

SWEET LOVE LYRICS BY AKOTHEE FT DIAMOND PLATNUMZ

DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE 



oh you know ,sina ujanja kwako,
nimeshona kinywa kwako baba,
kwako sise,sisemi kitu ,
you know ,macho yangu kwako,
ujeuri sina baba ,
kwako sihe  sihemi,
wasije kuteke viwembe,
nami ukaniacha kizembe,
wakatiwe shamba mijembe,
you are my sweet love,

kama upendo nyumba tujenge,
nitakushonea shati kitenge,
nyumbani kwa mama si twende,
you are my sweet love,

( Imora baby okabi weyi nyakachien'g)x2


Chorus
oh baby ,
you are my sweet love, 
oh you are my sweet love,
oh you are my sweet love,
mmmmh, sweet number moja, 
oh baby ,you are my sweet love, 
oh you are my sweet love,
oh baby you are my sweet love,
mmmmh, sweet number moja,


siku hizi upendo ukarapai,
zinga upepo si tuzinge mama,
wakatia fitina,
binadamu si unawajuaga ,
wengi walaghai,
sije kesho kaniiba chalama,*
kwenye uwezo sina,
nikabaki naugua,

mangapi ulishazusha tuzonge,
mangapi pengo uninyang'anya tonge,
mangapi yanga kachinja na ngo'mbe
kiko wapi,si yafaa ndai itutishe lizombe
 pilipili yawawashia nini
siri siri  yetu we na mimi,
wawili wili ,hivi wana nini  
binadamu bwana,


chorus

TUCHEZE LYRICS BY FERRE GOLA FT VICTORIA KIMANI

DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE

baba ,ninakuja unihurumie sana, nakuomba unihurumie,
huku dunia kama mtu anafanya ubaya,
itika baba niko mtoto yako,
me silali  mgeni,me silali  mgeni,
husinifungie,oh baba yangu,oh

tucheze tucheze, tucheze  michezo ya kwetu
tucheze tucheze ,tucheze tuvunje kauno


baba ninakuja unihurumie sana nakuomba unihurumie,
kama mtu analoomba sasa huruma,
usikie sababu hasira ni mbaya,
me silali kwa mgeni ,me silali kwa mgeni


tucheze tucheze ,tucheze michezo ya kwetu
tucheze tucheze ,tucheze tuvunje kauno

oh mama oh mama ,sorry for where we are wrong,
oh mama oh mama you show how you love me,
and so tonight we dance ,mama tonight we dance,
in your house we dance,*

tobina x6

papa azali feti munene mwana zongio,
azongio,

NIA YANGU LYRICS BY LINAH



Verse 1
Kama mama anavyompenda mwana toka tumboni,
Nami ndivyo nilikupenda tangu zamani,
Moyo uliniuma pale ulipo weka donda
Nafsi ilisononeka huku ikisema,
Moyo uliniuma pale uliponiogopea,
Nafsi ilisononeka huku ikisema,
Kamwe sitopenda maishani na dunia,
Wewe ubaki pekeako na mimi kivyangu,

(chorus)
Nia yangu nisikuwaze ,
kwenye moyo wangu unitoke,
ili moyo upoe, na donda la moyo lipone,
Nia yangu si mbaya ,
Najinusuru mapema,
Akijikwaa mmoja na me wa nyuma kujikinga,

Verse 2
Ulipokuja kuishi na me kama mwandani,
Mwenyewe si ulitabiri uzuri wa sura na busara pia
(Kwa kupenda nilijisumbua,
Kupenda hasiye pendeka,
Moyo wangu naomba uachie upumue,x2)

(chorus)

Verse 3
Nia yako unilize
Moyo wangu utese *delee
Kosa lako unanigeuzia mie,x2
Nimekushtukia ,unaiogopea wewe,
Kosa lako unanigeuzia mie,x2
(chorus)






ASANTENI KWA KUJA LYRICS BY MwanaFA


( chorus)
asanteni kwa kuja thanks for coming,
coming x4
eh ehX 4

verse 1
shobo nyingi zaidi ya soko la samaki,
feri nangoja, ata peperu sipati
buheri wa afya hofu ni juu yako,

naomba uongee na couzin yako

BOOTY BOUNCE LYRICS BY VICTORIA KIMANI



                

 [Intro]
Yeah yeah
Kimani
yeah yeah


[Pre Chorus]
Make your booty bounce baby girl
make your booty bounce
Make your booty bounce baby girl
make your booty bounce
Make it wiggle round
Baby
When you hear the sound
Baby



[Chorus]
One time for the pretty girls yeah
Hands up if you’re a pretty girl yeah
Shout out to my pretty girls yeah
One time for the pretty girls yeah


[Hook]
Spray the money on it
Spray the money
Spray the money on it
Spray the money
Spray the money on it
Spray the money
Spray the money on it
Spray the money


[Verse 1]
It’s such a good thing
Yeah yo
You already got a wife
yeah yo
And me dont have a man in ah me life
Yeah yo
Rude boy you such a big deal
Yeah yeah


[Climb]
Oh oh
Ejor wor
When you see the booty
You go empty your wallets off
Oh oh
Nor be so
Oga spend the money
See the girl dem dey kill the show


[Pre Chorus]
Make your booty bounce baby girl
make your booty bounce
Make your booty bounce baby girl
make your booty bounce
Make it wiggle round
Baby
When you hear the sound
Baby


[Chorus]
One time for the pretty girls yeah
Hands up if you’re a pretty girl yeah
Shout out to my pretty girls yeah
One time for the pretty girls yeah


[Hook]
Spray the money on it
Spray the money
Spray the money on it
Spray the money
Spray the money on it
Spray the money
Spray the money on it
Spray the money