DOWNLOAD OUR ANDROID APP HERE
( Sauti Sol)
We all need love,we all need affection,
and the way that you're looking at me,
I can feel a connection...
Unanibamba baby Kwanza unavyochekecha,
kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega...
ju siku hizi madem wanapenda doo,
na machali pia tunazo drama,
We all need love,we all need affection,
and the way that you're looking at me,
I can feel a connection...
Unanibamba baby Kwanza unavyochekecha,
kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega...
ju siku hizi madem wanapenda doo,
na machali pia tunazo drama,
ya dunia ni mengi sana,
no commitment mama,
so nipe nafasi,
nikupe mapenzi yangu ya kiluhya,
halleluyah oooh,
(chorus)
We all need love,
nakupenda ,tena nina imani sana,
(ushanitega) x2
we all need someone,
nakupenda ,tena nina imani sana,
(ushanitega) x2
so make love to me,
(unconditionally bae) x2
make love to me,
(unconditionally bae )x2
( Ali Kiba)
They all need love,
They all need love,
me i want wife ,wa kuishi na yeye,
fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa ,
jina langu Ali,sasa lazima nilee,
nikikosa kula nawe ndo chakula,nitakonda mazimaa,
and i belie-eeeeve,nitakuwa nawewe,
mwanzo mpaka mwisho,
and i belie-eeeeve,baibe,
(chorus)
Ali, bumaye ,Sauti sol, bumaye,
East Afrika bumaye ,
Tanzania/Kenya, bumaye ,
Tanzania/Kenya, bumaye ,
Kigali, bumaye ,Bujumbura, bumaye ,
Kampala, bumaye ,Kinshaasa bumaye ,
Kampala, bumaye ,Kinshaasa bumaye ,
The full lyrics?
ReplyDelete360musicng.co
We need d full lyrics
ReplyDeletehttp://360musicng.co
The full lyrics?
ReplyDelete360musicng.co
full lyrics pwz
ReplyDeleteme i need* a wife... not want*
ReplyDelete