BADO LYRICS BY HARMONIZE ft. DIAMOND PLATNUMZ

 
kutwa mdomo wazi,
nikifuta na machozi,
huku namwomba mola unitoke moyoni,
ila mi siwezi,
nakesha kama mlizi, 
maana na ata nikilala unanijia ndotoni,
bado ,asante kwa kuniumiza,
nilijifunza mengi mwanzo sikuyajua,
katu ,naapa kutolipiza 
na umwambie mapenzi abaki kuyasikia,
eh nakumbuka maneno yako,
hutakimbia utabaki nami,
tena na ukala na viapo,
ata ulati bibilia leo sikuoni ,


ila mwezako bado,(bado bado x3) 
mwambie bado sijapona,x2


sijapona oh

wala nishike mkono baba muumba,
haya nayoyaona simanzi,
na ni bora jicho mchanga nimefunga,
huenda ningesha kuona ,maradhi,
oh maumivu yangu ,
hayawezi kupona kwa vidonge ,
sababu panaponichoma,
nikipapasa sipaoni,
kwani pekeangu,
umeniacha na unyonge,
kabisa wakanipokonya ,
tonge langu mdomoni,



eh nakumbuka maneno yako,
hutakimbia utabaki nami,
we ndio mwili me roho yako  
yaani umetimia, mbona sikuoni ,


ila mwezako bado,(bado bado x3) 
mwambie bado bado bado sijapona,x2

ile roho yangu mama,(ibebe)
inadodoka (ibebe),
niokote mama (ibebe),
chaukuchanisijezimaa
oh roho yangu (ibebe)
inadodoka (ibebe),
njoo nishike mama ibebe,
chaukuchanisijezimaa

 ai we (ibebe)
watanizika mama (ibebe)
mwenzio utadhani (ibebe)
chaukuchanisijezimaa
maskini pendo,(ibebe)
linadodoka (ibebe) 
niokote mama ibebe,
chaukuchanisijezimaa

(ibebe x3 chaukuchanisijezimaa) x2
  


 

No comments:

Post a Comment