MIJUDO LYRICS BY YAMOTO BAND

Usiku ukifika ,tukeshe uwanjani,
tena unaniita baby hakuna kama mimi,
nami nahakikisha nakufikisha safarini,
kama nahodha wa meli,naifikisha bandarini,aah,
kumbe vigezo sijafikia,uuh,
uwezo wako naona unafifia ,aah,
hiyo tabia  si unipeni nichukue,
nivalishe niingie,naogopa mida ile kukikucha eh
nipeni nichukue,nivalishe niingie,
naogopa mida ile kukikucha eh

iweje uvuke na mtumbwi,kivuko kina boat,
ni bora useme hunipendi,sio kujenga chuki,
maneno maneno yanachoma mama tena bora uvuke,
unashinda kunambia mwenyewe,
unabambika vibeberushe,
sina sababu ya kurumbana na wewe,
hunipi tabu ,we kuku wangu mwenyewe,
na huna adabu,unajichanganya na wewe,
nakosa jibu kwa tabia yako wewe,

we fanya kusudi moyo utauma,
mwisho utapenda,eh eh ehe,
sawa( kumekucha x4) kumekucha
kutoana akili kumekucha .aya,

uzuri wa ujidee x3,tingisha kikombe,x2
mijudo,mijudo wee.kwa jina lako,
kabila lako ,unanilazimisha nikuone kweli wewe kigogo,
mijudo we ,we mijudo we,we,

No comments:

Post a Comment