WIVU LYRICS BY JUX

 

 verse 1
Eiyeh,
niamini leo hii,sitamani mwingine tena,
kazi zangu mishemishe,
nitarudi nyumbani mapema,
unachonipa baby ,sitokaa nikuumize,
na zile raha unazonipa ,wewe,

 (chorus)
napenda unavyokata ,na kunipa taratibu,
mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu,
nikikushika unanitazama unaona aibu,
we tabibu ,unanipa raha,
napenda unavyokata ,na kunipa taratibu,
mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu,
nikikushika unanitazama unaona aibu,
we tabibu ,ila -ilaa

husije fanya visa mina wivu,
na moyo utaniumiza mina wivu,
na hofu watakuteka mina wivu,
sitaki nile mbichi wao mbivu x2

verse 2
naandika ngoma ya mapenzi nakuona wewe,
na vinanda vya bob vya bembeleza ,
nishagoma kwingine,kwako nipewe,
umeniteka mazima nimelegeza,
and everything i do for you,
is from my heart as you know,
na kila siku mimi napambana we ubagamee,

 (chorus)

  ah ah ah aah,x4
husije fanya visa mina wivu,
na moyo utaniumiza mina wivu,
na hofu watakuteka mina wivu,
sitaki nile mbichi wao mbivu x2


No comments:

Post a Comment