CHUMA LYRICS BY CHID BENZ FT RAYVANNY


chi-chi-chi-chid,
unanicheki nakucheki pia,
na najua unaipenda ,unaiangalia,
kama fresh basi fresh pia,
move your body like a snake,
shake,zungusha pia,
kwenye vumba sivuti gear,
voom-voom,we pisha njia,tunaingia,
wakali wa kale,
wabana ka pepe kali,
bosi kama tale,simba twende madale,
na dj washa nale,washa nawasha pale,
inazunguka inachoma moto wa hatare,

tupo huku mezani ugali kuku,
bling nami ni wako maradufu,
swing watanusa harufu,
mitungi tusha dida....wapi supu?
waliwaka wamezima ah,
hiki kino kirefu no kupima ah,
tunatamba mjini na majina ah,
ogopa moto huu ka stima ah,

 (chorus)
oh -oh -oh -oh
wapangaji mpisheni mwenye nyumba eh,
oh -oh -oh -oh 
huu sio upepo wa peni n kimbunga eh,
chuma kinavichwa  vyuma -ilala,
na king kong wa -ilala,
kwa kasi kama duma -ilala,
wa ilala eeh,

nipo kona ,kama kawa nipo kona,
nimesizi na macchizi tunachoma,
mtoto mkali akitabasamu,
shemeki kapeleke salamu..cheers,
avinitishi mwanaume kidume,
bora gurudumu nisukume,
maneno ya mwezi uchune,
hasira zinifanye nitune,
for chizzy,manizzy,
you know we get busy,
easy manizzy,he knows no hirizi take easy ,
chiki zigzag ,washa zima taa,
bado tunangaa,moto ni balaa,
shangwe kwenye show ,watu eeah,
check wanahema kama bweha,
nyama kwenye mjengo -chomaa,
we una mapengo komaa,

(chorus)

kama kazi na dawa,
napandisha vocal kwenye power,
ila nipunguze kutia chawa,
hawanikuti hata wageuke farasi,
full suit na nanukia marashi,
tunaruka nao ,piga bao,
nashika mali yao kama tania,

ra-mpa -ra
ra-mpa-ra
ra-mpa-ra-ria
ra-mpa-ra-ria

(chorus)

No comments:

Post a Comment