_______________
SWAHILI LYRICS
_______________
Verse1
Oh ghafla visenti sina
nimerudi tandale,
nimeshindwa kulipa bima,
nimeuza madale,
redio nyimbo wamezima tv ndio hatare,
umeneja umebaki
jina,hanitaki ata tale,
oh shabiki zangu
walionisifu kwa maneno matamu,
leo maadui zangu, ni mitusi
tu kwa instagramu,
eeh kimwana si dadangu, ati
naye hanifahamu,
ata harmonize
nikimpigia,ananifokea kama salaamu,
na magazeti nyumbani kwa
kukuza habari si unajuaga,
utasikia tafarani ati mondi
kwa zari amemwagwa,
na venye nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga,
kama naiona michambo ya madem wa zamani,niliowapitiaga
verse2
ooh ninayosema yana maana ,
sababu hakuna anayejua
kesho,
anayepanga ni rabana,
ila ameficha ni
confidential,
ukisali omba sana,
mumeo nisije kuwa kichekesho,
maana rafiki wa jana ,
ndio adui mkubwa kesho,
(chorus)
La la la la la la la
Oh Je utanipendaga,
La la la la la la la
Au nawe utanimwaga,
La la la la la la la
Ati utanipendaga,
Verse3
Ooh bado nawaza sana
zile tuzo mashauzi airport
Je ntapofika tama,
utadiriki ata japo
kunipost,
pindi show zimekwama ,
na nikipata sijazi ni
mikosi,
oh jahazi limezama,
mola ninusuru baba,
verse
4
kama namwona mwanangu roho
yangu,
tiffah dangote ,anakwenda
na mamangu,
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,
husilie sandra wangu,mboni yangu,
jikaze husichoke,uenda
kesho zamu yangu,
nitavuma tena mambo
yanyooke,
na magazeti nyumbani kwa
kukuza habari si unajuaga,
utasikia tafarani ati mondi
kwa zari amwagwa,
na venye nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga,
kama naiona michambo madem
wa zamani,anikerage
la la la la la la la
la la la la la la la
la la la la la la la
la la la la la la la
verse
5
kama namwona mwanangu roho
yangu,
tiffah dangote ,anakwenda
na mamangu,
kwa mkubwa fella anafukuzwa atoke,
husilie sandra wangu, mboni yangu,
jikaze husichoke,uenda
kesho zamu yangu,
nitavuma tena mambo
yanyooke
verse
6
ooh ninayosema yana maana ,
sababu hakuna anayejua
kesho,
anyepanga ni rabana,
ila ameficha ni
confidential,
ukisali omba sana,
mumeo nisije kuwa kichekesho,
maana rafiki wa jana ,
ndio adui mkubwa kes
______________________________________________
TRANSLATION
______________________________________________
Verse1
Oh ghafla visenti sina
nimerudi tandale,( all of a sudden am
broke and am back to Tandale)
nimeshindwa kulipa bima,
nimeuza madale,(am unable to pay
insurance, and i have sold my property in madale)
redio nyimbo wamezima tv ndio hatare,( radios have stopped playing my songs, tvs are even worse)
umeneja umebaki
jina,hanitaki ata tale, (manager Tale is
no longer interested in me)
oh shabiki zangu
walionisifu kwa maneno matamu, (oh my music fans
who praised me)
leo maadui zangu, ni mitusi
tu kwa instagramu, (are my enemies ,insulting me in instagram)
eeh kimwana si dadangu, ati
naye hanifahamu, (my sister doesn’t recognize me too)
ata harmonize
nikimpigia,ananifokea kama salaamu, (when I call Harmonize
Hes shouting at me Just like Salaam)
na magazeti nyumbani kwa
kukuza habari si unajuaga, (as you know how
newspapers write at home)
utasikia tafarani ati mondi
kwa zari amemwagwa, (you will hear
zari dumped diamond)
na venye nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga, (but I am weak
Ican’t answer them)
kama naiona michambo ya madem wa zamani,niliowapitiaga ()
verse2
ooh ninayosema yana maana , (there is a meaning
in what am saying)
sababu hakuna anayejua
kesho, (because no one
knows tomorrow)
anayepanga ni rabana,(God plans it all)
ila ameficha ni
confidential, (but He has hidden that,its confidential)
ukisali omba sana,(insist in prayers)
mumeo nisije kuwa
kichekesho, (your husband not
to be an amusement)
maana rafiki wa jana , (because
yesterdays friends)
ndio adui mkubwa kesho, (are tomorrows
big enemies)
(chorus)
La x7
Oh Je utanipendaga, (will you love me)
La la la la la la la
Au nawe utanimwaga,(or you will dump me)
La la la la la la la
Ati utanipendaga, (will you love me)
Verse3
Ooh bado nawaza sana(oh am still thinking
deeply)
zile tuzo mashauzi airport (all the awards at the airport )
Je ntapofika tama,(when my fame
diminishes)
utadiriki ata japo
kunipost,(will you still
post me)
pindi show zimekwama ,(when shows are
stuck)
na nikipata sijazi ni
mikosi,(with bad luck to
fill shows)
oh jahazi limezama,(oh the ship is
capsizing)
mola ninusuru baba,(God save me
father)
verse
4
kama namwona mwanangu roho
yangu, (when I see my
daughter)
tiffah dangote ,anakwenda
na mamangu, (Tiffah dangote
going with my mother)
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,( to Jakaya Kikwete's place and she is chased away)
husilie sandra wangu, mboni yangu, (don’t cry the apple of eye)
jikaze husichoke,uenda
kesho zamu yangu, (be strong
tomorrow may be my time)
nitavuma tena mambo
yanyooke, (I will be famous again
,things will be okey)
na magazeti nyumbani kwa
kukuza habari si unajuaga, (as you know how
newspapers write at home)
utasikia tafarani ati mondi
kwa zari amemwagwa, (you will hear
zari dumped diamond)
na venye nilivyo mnyonge
tabia ya kuwajibu sinaga, (but I ma weak
can’t answer them)
kama naiona michambo ya madem wa zamani,yaani kede kede ()
la la la la la la la
la la la la la la la
la la la la la la la
la la la la la la la
verse
5
kama namwona mwanangu roho
yangu, (when I see my
daughter)
Tiffah dangote ,anakwenda
na mamangu, (Tiffah dangote
going with my mother)
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,( to Jakaya Kikwete's place and she is chased away)
husilie sandra wangu, mboni yangu, (don’t cry the apple of eye)
jikaze husichoke,uenda
kesho zamu yangu, (be strong
tomorrow may be my time)
nitavuma tena mambo
yanyooke, (I will be famous again
,things will be okey)
verse
6
ooh ninayosema yana maana , (there is a meaning
in what am saying)
sababu hakuna anayejua
kesho, (because no one
knows tomorrow)
anayepanga ni rabana,(God plans it all)
ila ameficha ni
confidential, (but He has hidden that,its confidential)
ukisali omba sana,(insist in prayers)
mumeo nisije kuwa
kichekesho, (your husband not
to be an amusement)
maana rafiki wa jana , (because
yesterdays friends)
ndio adui mkubwa kesho, (are tomorrows
big enemies)
No comments:
Post a Comment