KWANGU 254 LYRICS BY ALI B,BAHATI,BWANA DNA,COLLO,SIZE 8,SUZZANA OWIYO,WAHU




 Verse1
(collo)Welcome to 254,(54) ,
karibu Kenya marafiki,
If you are ready si we can go,
Watu watuholla wa cities,
Tupande kasikazini tuko juu,
You are right on the magharibi kisha
Benga ,tuko mashariki,
Chini kwa chini hadi kusini tuko poa,

(Chorus)
Karibu nyumbani kwangu ,
Cheza ukitabasamu,sote tuburudike,
Chakula kitamutamu,
(pamoja, na tusherehekee eeh x2)x2

Verse2
(suzzana owiyo)Feel the music and feel good,
Move to the beat,
Dance to the rhythm,
We party like champions ,kemboi dance,
Eeh come and show you,kemboi dance

Verse3
(DNA)You know me (know what)
Niko mitaani(aah)
Flavor za nyumbani,make you sing
A kenya very good
Too big to a small,najitambua ,asanto,
Kenyan praise, Kenyan bond,
Need your voice,a Kenya very good

(Chorus)

Verse4
(bahati)Mtoto wa mama Kenya,
Ndio nyumani,mtoto wa mama tena,
Ndipo maskani,niko kijijini kucheza chakacha,
Pia kanisani nikisifu maulana,elele
Maulana ,kila kitu kiko sawa,                                                          
Husidhani uko mwenyewe,
Husikate tamaa ,
Tuko pamoja tukijiburudisha,
Tuko pamoja tukijichangamsha,
(Chorus)
Karibu nyumbani kwangu ,
Cheza ukitabasamu,sote tuburudike,
Chakula kitamutamu

Verse4
(size 8) Vile unavyopenda ,
Husijali watakavyosema,
Jiachilie ,eh eh eh
Vile unavyopenda ,
Husijali watakavyosema,
Jifurahishe eh eh eh

Verse5
(ali b) twende twende ,twende
Twende nyumbani twende,
(Twende kushoto twende
Twende kulia twende x2)
Ooh (shika tumbo rusha mikono x3)
Shika tumbo.         

No comments:

Post a Comment