MAMA LYRICS BY YAMOTO BAND AND ZENNA




Tuna mba mba mba na pwani yetu X2
Zena yamoto band twafanaya yetu eh X2
(Aslay)
Umenifunza mbaya na nzuri kipi mi sijasikiaga
Ukanipaga na ushauri uweze kunisaidiaga
Zile teteme teteme hutaki kuzisikiaga
Nipambane niweze kukusaidia mama
Ai Yaliyonikuta we , naona gondo oh naona ngoma leo

 kama dunia sio mbaya mama
(naiona gondo)x2
ai mtoto toto me kwako mtoto,
husitishwe na * yamenishinda nimekuja kwako 
mama oh mama eh x2mwanao nimekuwa ih ,najionea
mama oh  ,mama eh , yale ya dunia eh ,ulioniambia eh

umenifunza kuna kovu na adui , kuna masika na furi,
* pia simba na chui , eh mama ,muda mwingine najisaidia,
hauchoki kufua,mama eh mama eh,
muda mwingine nakusifia haukunichukia,
lipi nikufanyie sikioni leo mimi,lipi nikutendee sijaliona mama
ninavyokupenda mama anayejua ni mungux2
 ninavyokupenda mwanangu anayejua ni mungu,
ninavyokupenda mwanangu ,akulinde mwanangu,

usiku ukifika ulikuwa *ukiforce mapema me nilale 
hutaki nikeshe wakati kesho inabidi niende shule,

usiku ukifika ulikuwa *ukiforce mwanao  me nilale 
hutaki nikeshe wakati kesho inabidi niende shule,
mama uligombana na majirani,sababu  mimi kunitetea 
na kama kosa nafanya mimi ,cha kukulipa mimi sioni,

hapa duniani ,nakuombea mimi uishi miaka mingi we mami

najivunia uwepo wako kwenye dunia
nakuombea  miaka uishi nisije potea njia






 


 



 
 
 

No comments:

Post a Comment