HELLO SWAHILI VERSION LYRICS


Hello
Ni mimi
Baada ya miaka na mikaka, je twaweza kukutana Turejelee
yote.
Wanasema muda unaponya, mbona bado ninaumwa?
Hello
Waniskia?
Niko Pwani nikiota juu ya vile tulikuwa
Kama vijana,
tulipokuwa huru
Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
Tofauti
baina yetu
Na maili milioni
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha
kwa niliyotenda
Lakini mteja
hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe
kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama
haikujalishi Kamwe.
Hello
Waambaje?
Ni kawaida yangu kujizungumzia,oh Niwie radhi
Natumahi
utaniwia radhi
Je, uliweza hama toka ule mji uliokuboesha
Sio siri
Kuwa mi na we
Tunapitwa na masaa
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha
kwa niliyotenda
Lakini mteja
hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe
kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama
haikujalishi Kamwe
ooh Kamwe
ooh Kamwe
ooh Kamwe,
kamwe
Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha
kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani
Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe.

No comments:

Post a Comment