SILALI LYRICS BY RICH MAVOKO

Kwingine sitamaani,
ila ahadi uliyonipa moyoni,
nahisi ni shetanii alonibadili mawazo kichwani...
mmmh -ona mapenzi ni mfano wa dini,
nimezama ni vigumu kutoka ona na kesha
ni kama bundi nikilala kuna kitu nakiota
(Umenipa upofu unahiiiidi mboni zangu Unaniumiza!!!
Ukanipa donda ndugu moyoni mwangu maumivu yalopitiliza)X2
(Mbona silali, kisa mawazo mwenzako sili, ona watoto nyumbani wanauliza wapi mumy?)X2 Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo
Lakini siweziii..., nahisi kama ndo nitanzidisha mawazo
kwa maumivu ya mapenzi!! ...to be continue

No comments:

Post a Comment