LONELY LYRICS BY BARNABA


Noo oh baby,
eeh
binadamu wabaya najua baby
nieleze nini kilikusibu
ulizima kama mshumaa
yeeyee wowoo cry
tujenge malengo
toka kitambo (aye)
nini kimekusibu
unalia chanzo baby

ayeyeye wowowoh ,mmmh
binadamu sungura ni unjanjanja tu,
wowoo
kilio mwenzake leso
shida mwenzake mateso
mie mwanzangu nani
aieee,
{now i feel so lonely baby you are my shadow}x3
baby
oooh

ayeyeee,awowowh
simanzi,majonzi
umenipa mateso,
nalala macho wazi
na oh oh yee
laiti ungejua ,ungegundua,
husingefanya unayofanya sasa
ukigundua na ukajua,talihlah

binadamu sungura ni unjanjanja tu,
wowoo
kilio mwenzake leso
shida mwenzake mateso
mie mwanzangu nani
aieee,
{now i feel so lonely baby you are my shadow}x3
baby
oooh eh(you my shadow) eh eh

ata vikombe tu ,vinagongana ,
sembuse sisi binadamu haufahamu
kitu kidogo tu ,unabeba vilago,
kama mbeba kago
uh yeyeye

binadamu sungura ni unjanjanja tu,
wowoo
kilio mwenzake leso
shida mwenzake mateso
mie mwanzangu nani
aieee,
{now i feel so lonely baby you are my shadow}x3
baby
oooh
you are my shadow
ooh ,aah

No comments:

Post a Comment