MBELEKO LYRICS BY RAYVANNY
Mmmmh
ulisemanga dunia ina mapambo yake eeh
ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
nimezunguka aah, nimefika kwake eeh
siwezificha nimeshanasa
kwa pendo lake eeh
halabaani
kakuumba kimwana ,mwenye sifa ya upole
ata mama kakusifu sana,kitofauti na wale (wajane)
kule nilizama tafadhali niokoe
mamamaa unipulize nipoe
(we ndo my queen baby my only
sitopenda uende mbali one day )x2
(unaficha mbele kwa ajili yako,
jiachie tu nikubebebe)x2
we ndogo mtoto me nakubembeleza
jiachie tu nikubebe eeh
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol) Be ka ntsentxa toronkong (it can land me in jail) bjala (alcohol...
No comments:
Post a Comment