NISAMEHE LYRICS BY BARAKA DA PRINCE FT. ALI KIBA

 
baby turuuh,
uhm-uhm-uhm
umh,nisamehe,
nisamehe..samehe,
ema the boy,
nisamehe,,,samehe,

bado nalilia upendo huu,
na moyo wangu unahisi niliumbwa kukupenda,
ili sijui nini kilichonitokea,
na haya kuwa malengo oh,
kuumiza roho ya mwenzangu,mi naogopa sana,
yote ni majaribu,bado ni yangu riziki moyo unasema,
naipata tabu ,husikumbuke mabaya,
kumbuka na mema,
mwanamke akipenda wee,
ujue kamaanisha ukweli,
anaweza kujiua wee,
ukicheza na hisia zake,
mola ninusuru we,nilichotenda si busara,
haikuwa haki kwake yeye,
naomba nijaribu ya mwisho nafasi,
na nimerudi,

ole-oh ole-oh ole-oh ole-oh
na nimerudi,
ole-oh ole-oh ole-oh ole-oh
naomba nisamehe,nisamehe,
(mwenzako mi nifanye nini?
nisamehe,
nifanye nini..... kwako wee,
nifanye nini ....nieleze,
nimerudi mama,)x2

hivi unajua wajua wewe,
kukupenda,
mpaka mimi sijielewi waah,
i want you back am sorry baby,
sina nilichopata,nilikotoka baby waah,
kero na mashaka tele,
ugomvi kutwa nzima
ata na mahaba zile.
siwezi nimetoroka,
nikakosa na maraha tele,
ya kwako nimekumbuka,
kudekwa na kubembelezwa,
ninapokasirika,

ole-oh ole-oh ole-oh ole-oh
na nimerudi,
ole-oh ole-oh ole-oh ole-oh
naomba nisamehe,nisamehe,
(mwenzako mi nifanye nini?
nisamehe,
nifanye nini..... kwako wee,
nifanye nini ....nieleze,
nimerudi mama)x2

nifanye nini ah mama               

2 comments: