Simzugi kwa pesa wala nguo, sijasoma kidato wala chuo
Tena nina madeni mkupuo, lakini kadata na mimi
Mimi kitesa yeye funguo, anazama na mimi bila kituo
Na rangi yangu ya kijaluo, ndio inamkata ulimi
Sitoi chozi languu, ona sasa nimetulia
Nampa moyo wangu, kanipa wake namtunzia
(Anipi kirobo, anipa kubwa kubwa si ndogo
Nikimpa kidogo, tamu mpaka anakuna kisogo) ×2
(CHORUS)
Lalaaaa, ananichanganya changanya yuko moyoni
Babaa, aniweza sana mpaka wengine sioni ×2
YeLelee yuko moyoni, mmmh
mpaka wengine sioni
YeLelee yuko moyoni, mmmh ata wengine sioni ×2
Yuko moyoni mpaka wengine sioni
Yuko moyoni ata wengine sioni
Niye aliyenibania, mapenzi nilijutaLalaaaa, ananichanganya changanya yuko moyoni
Babaa, aniweza sana mpaka wengine sioni ×2
YeLelee yuko moyoni, mmmh
mpaka wengine sioni
YeLelee yuko moyoni, mmmh ata wengine sioni ×2
Yuko moyoni mpaka wengine sioni
Yuko moyoni ata wengine sioni
Nikajifanya ngamia, siwezi kuangukaa
Sikuwacha kulia, moyo ukinisuta
Nimezunguka dunia, leo nimemkuta
Mi na yeye, yeyee, ye na mimi, mimii
Mi na yeye, yeyee, ye na mimi, mimii
(Wenye uchunguu, muendee maternity si msitupange
Mana machunguu kimepata mpini wacheni akitwage) ×2
(CHORUS)
My sweetie potatoeee(oooh), my tomatoe josiiieee (oooh)
Your the papa of my bikini ooh
For the love you go de give me oooh ×2
Basi uza simu ununue voucher, kwa story za umbea jo
No comments:
Post a Comment