NOW YOU KNOW LYRICS BY NYASHINSIKI


 mmmmm hhhhhhh,
huyo ni mfala mgani anaeka ma mng'ari,
kwa list juu ya ferrari eh,
ana degree au ni journalist
tu juu ana list?naskia wakiuliza
ule boy wetu alienda wapi,
amepotea kaa zile mbengu watu walipanda na kanyari,
na naskia inasemekana ati rap zangu ukama na mkazo,
na ile utamu ya reggea  mama,na maordinary wananikubali,
na ata watiaji hawaezi kana,
kwa wale hupenda sauti yangu ,
na iko kwa wale husengenyana,
mama x2 kijana wako amepotea,
ni maskio ye anatoboa,huku ndugu zake wakiendelea,
mwenyezi mungu pekee anezamwokoa,
kimaisha amelegea,igawa hatuoni akitoboa,
bado twazidi kumwobea amina,

mmmmmmm hhhhhhhh,

yeah sionagi aja ya ufisi,sina njaa najua mpishi ,sijai fanya kazi ya ufisi,
sijai lala ka sijadish,sijarap kitu kutoka kaa 06 hivi trust me,
siezi rust mimi ata niache mziki,
miaka hamsini nikirudi bado nawacrush nyinyi,
niko first mie ndani ya party na nguo rasmi imepigwa pasi hapo katikati,
napiga mic check juu niko party na niko night shift,
nilikuwa busy sikuwa najificha,clearly you rappers missed your teacher,
vitu mnaandika vinachoma picha nikiwish singewacha kuwafundisha sauti naskia ni

don't waste your time wishing you are too proud my baby too proud to
wish they had an easy way out ,let times get tough so they remember,
you a blessing when life is good they will forget to say

uuuuuu mmmmm heeeyyyy,

naulizwa mbona niliacha mziki,
ati nilikuwa mkali juu ya mic ,
na namissiwa na mashabiki
niliacha game mapema ata kabla reffa hajapiga firimbi,
bila kwaheri ati walishtukia,
tu ati kuna klepto mmoja haimbi,
samahani nimepokea,shukrani kwa wale wamenifikiria,
hizo miaka zote nimekuwa missing lakini iko kitu hamjaniambia,
kaa ningebaki bado ,ungekuwa na taki ya kusikia nikiwaimbia,
ama by sa hii mngenifanya vile mnafanya mapioneer,
story kwa media ati nimechapa,
niko juu ya madawa nahangaika,
show ni ule jamaa aliimba ada ada,
ebu kam u curtain raisie mnaija,
its not that serious,
rap ni hobby bila mziki bado namanga ingekuwa career
si ningekuwa nalia,
kusikia ati naija night nairobi ambia new comer hasijifeel sana
we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda (tunakupenda)
ukikaakaa tunachoka na wewe ,
hivo ndo ku enda (hivo ndio kuenda)
mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu,
sikukaa siku mingi ,
nikuachie nafasi ya kuchoka na mimi,

so now you know oooh
shinsky,
so now you know oooh
beat ya keggah,
so now you know oooh,
heyyyyyy,mmmmmh,heyyyyy,uuuuuh.











No comments:

Post a Comment