KEREWA LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ

kwanza umejazika kama mlima kitonga,
mpaka mabitozi wanajigonga,
figure matata na kweli umekwenda skonga,
je napokumiss naku-call tunabonga,
hello we ndio mamito
amini mi ndio papito
okay,we ndio mamito,
achana nao ya dunia yote mapito
okay,yes we ni bonge la demu,
tupendane tupeaneyaanikila sehemu,

hook-shetta
we ndio mama kaila
of course mi ndio baba kaila
achana nao wanaokufata wote ni taila

chorus-diamond platnumz
we ni wangu tu ,tena waambie watuache tulalale
we ni wangu tu,husije niacha nikachekwa na wale
ona naimba,kerewa,kerewa,(ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
ah kerewa,kerewa aya ya ya
kerewa,kerewa (ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
ah kerewa,kerewa aya ya ya

verse 2-shetta
yoh umenipa nafasi sitaki nikosee
sitaki mwendo kasi sitaki nipotee
changanya kila kitu mpaka nikolee
mi ni wako kila siku nipokee
jua kweli nakupenda mama,
siwezi kukuigiza drama
vicheche nawakatalia sana,
nafurahi pia unabania wana
mpaka wanasema hunifai kabisa,
wanatamani nikuache kwa visa
wengine wanataka nikuuze ka hisa
ila mcizinimegoma sikuachi kabisa

hook-shetta
oh yeah
we ndio mama kaila
of course mi ndio baba kaila
achana nao wanaokufata wote ni taila

chorus-diamond platnumz
we ni wangu tu ,tena waambie watuache tulalale
we ni wangu tu,husije niacha nikachekwa na wale
ona naimba,kerewa,kerewa,(ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
ah kerewa,kerewa aya ya ya
kerewa,kerewa (ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
kerewa,kerewa (ayaya)
ah kerewa,kerewa aya ya ya

bridge-diamond platnumz
sa usiniumize basi (ayaya)
ukanipa wasi wasi,(ayaya)
ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
moyo ukanienda kasi (ayaya)
ah usiniumize basi (ayaya)
ukanipa wasi wasi,(ayaya)
ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
moyo ukanienda kasi (ayaya)

ah si unajua wenye chuki na hiyana
wametukania sana,sana usiku na mchana,
wakiomba kuachana

outro-diamond platnumz
so usiniumize basi (ayaya)
ukanipa wasi wasi (ayaya)
ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
moyo ukanienda kasi (ayaya)

No comments:

Post a Comment