KAMA UTANIPENDA LYRICS BY DARASSA FT.RICH MAVOKO


Mrembo njoo tujenge malengo
Nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo
Unaonekana kama mji wenye Upendo

Unafanana na mtu alochoshwa na mwendo
Si nikupe namba yangu unipigie weekend? (weekend, weekend baby)
Moyo unasema mchukue huyu mtoto yuko stendi
Vile anavyohema sio kama mtu hapendi
Anauelewa mziki anahofia kuucheza
Anasema na lugha chafu, ameshakuwa Kifimbo Cheza!
Sema nini na Marlaw nabembeleza
Kwa sera za Suma Lee nakula chungwa mpaka chenza
Ehee, shida kujiuguza
Mama you hot na uko ndani unaniunguza
Staki kujua, hata nikijua ntapuuza
Ukitaka kula bata uache kumchunguza
Aah! Kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba

You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(Eeh whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nkilala kwenye usingizi nifate
(The way you talk mama)
You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh, baby
(Eeh whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nkilala kwenye usingizi nifate

Hakuna single wala movie, mama kwangu you're my star
Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa
Nahangaisha paa, breki ziko Dar
Jitazame kwenye kioo how beautiful you are
Mapenzi ukichaa, mapenzi uchizi
Uwe nacho ukikataa, mwingine inamnyima usingizi
Mwingine atakesha, mwingine atatesa
Mwingine atataka akutumie kama pesa
Yanajuana madini yakikutana
Mwanamke ntanyima tuzo na ndo kitu nachofanya
We utasema mi kichaa
Kumbe mwenzako nafata what I feel inside
Aah! Kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda
Sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza
Katafute refa wa kukubeba

You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(Eeh whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nkilala kwenye usingizi nifate
(The way you talk mama)
You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh, baby
(Eeh whatchu want?)
Nipe uchizi nidate
Hata nkilala kwenye usingizi nifate

(Unataka nini mama?)
Usiniumizi moyo (waweza kupaa)
Mi niko loyal (uendeshe motor car)
Punguza uchoyo (nguo za kuvaa)
You're my everything for me (Na ukiwa out, oh whatchu want?)
(Waweza kupaa) baby
(Uendeshe motor car)
(Nguo za kuvaa)
(Na ukiwa out, oh whatchu want?)

You're my everything for me
You're my only one

No comments:

Post a Comment