DEDE LYRICS BY LAVA LAVA


VERSE I
niamini eh mimi mwingine sina darling
na sikufunzwa mbaya tabia
mahaba niuwe mimi kwako chali chali
ndani donda funza nishagajifia
borakukueleza imenishinda siri
we ndo umeniweka kiganjani
na nikiteleza unikoshe na mwili
chonde usije nieka visangani

nawe chunga kauli zinaponza
zitafanya tuwe maadui maadui
kinywa tia kufuri na macho fumba
usije kutamano mabedui
mabedui iii

chorus
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
sitaki mwingine you are my only one
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
mi sitaki mwingine you are my only one

verse 2
natamani makosa yasingekuwepo
tusikosanaoh baby yoyo
na samahani ingekuwa kama kichekesho
tuchekeshane eeh
oh bila choyo
naweka wazi shahidi moyo wangu
we ndo fundi wa raha zangu
kachumbari uzandu uzandu kwako bwelele
mkuna nazi mwali kwa matandu
mi pweza na ngurupandu
unavyomix na chachandu sinaga kwere

basi chunga kauli zinapoza
zitafanya tuwe maadui maadui
kinywa tia kufuri na macho fumba
usjie kutamani mabedui
mabedui iii

chorus
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
sitaki mwingine you are my only one
dede dede
simama wakuone you are my number one
dede dede
mi sitaki mwingine you are my only one

No comments:

Post a Comment