ACHA WASEME LYRICS BY OTILE BROWN


kama riziki unatoa,basi ntakosa
ila kama ni mola lazima ntapata

(verse one)
bwana shetani muongo,muongo we,
mbona umejawa na kinyongo ndugu we!x2
bwana niambie x3 wapi nilipokuudhi naomba uniambie
mana sio sawa kama we wanichukia ,
nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio yangu
wakati mimi nakuombea mema,waniwazia mbaya ooh sio sawa,
ooh so sawa

(pre-chorus)
oh dhamira yangu ndo nguzo yangu x2

{chorus}
acha waseme,acha waonge x2

(verse two)
wewe unanichukia ata zaidi unavyojipenda
unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema,
chochote nachofanya unanielewa makosa,
lolote nachofanya unanihukumu vibaya,
wapi nilipokukosea ningependa unieleze
wapi nilipokuudhi ningependa uniambie
maana sio sawa kama wewe wanichukia nia ooh nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu
wakati mimi nakuombea meme,
waniwazia mabaya oh so sawa,

(pre-chorus)
oh dhamira yangu ndo nguzo yangu x2
ohwema wangu ndo nguzo yangu x2

{chorus}
acha waseme,acha waonge x2

No comments:

Post a Comment