NISHACHOKA LYRICS BY HARMONIZE

 
yeeeaahhh
mmhhh mmhm eeeaa

kila chenye maremu na mpama hua hakikosi mwisho
(oohhoo mwisho)
ya nini kurumbana kukicha bila suruhisho
(ooohhh ouuuuu)

huenda kisicho ridhiki hakiliki sa yanini tutoane roho
nimepungukiwa kipi mbona naishi
sina hata jibalaa ohhhh

na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe
nliuvumilia nasijaona tamaa ooohhh

sio kama siwezi kupata aliye zaidi ya wewe
ila hai duna najichunga sana

tena naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakufikiria
nataka iwe fimbo  mwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
nataka iwe fimbo   mwenye sura ya choyo

nishachoka
nishachoka
nishachoka
wacha ukweli nkwambie

kukicha vijembe … dharau maneno … uuu masimango   nimechoka ohhhhh

No comments:

Post a Comment