RAHA JIPE MWENYEWE LYRICS BY LINAH


Siwezi tesa hisia zangu,
nikaumiza moyo wangu,
bora nibaki pekee yangu
imani sina ya radhi moyo wangu,

sina imani tena kushusu neno kupenda,
nishaimbiwa nikambiwa nakupenda
utashauri nini nione jipya kupendwa
maana mapenzi yale yale ni kuziguana
raha jipe mwenyewe eh
mwenyewe oh, mwenyewe eh
yaani raha jipe mwenyewe eh
mwenyewe oh, mwenyewe eh

sidanganyi husinichukulie poa,
sidanganyi utanioa,
kwanza kwisha unazigua
ninawajuaga mnakujaga kwa bwebwe,
au visanga mingi,mkipewa mnakimbia,
ya sungura na fisi mapenzi hayo mi sipendi,
ayaya kwa hiyo me nishajitoa,

sina imani tena kushusu neno kupenda,
nishaimbiwa nikambiwa nakupenda
utashauri nini nione jipya kupendwa
maana mapenzi yale yale ni kuziguana
raha jipe mwenyewe eh
 mwenyewe oh, mwenyewe eh
yaani raha jipe mwenyewe eh
mwenyewe oh, mwenyewe eh

sidanganyi husinichukulie poa,
sidanganyi utanioa,
kwanza kwisha unazigua
ninawajuaga mnakujaga kwa bwebwe,

(raha jipe mwenyewe eh
 mwenyewe oh, mwenyewe eh
yaani raha jipe mwenyewe eh
mwenyewe oh, mwenyewe ehx2

No comments:

Post a Comment