HATUACHANI LYRICS BY LAVA LAVAFT. SALHA


achana na hao manyambafu
wasikupande kichwani
midomo yao michafu isikunyime amani
we ni pende kama sarafu unifiche kwa pani

na unigande siafu ata tukiwa njiani
hawapendi kuona penzi linafika mbali
hodi wanachoma usiku wana hawalali
wanakesha kwa sangoma penzi walitie misumari

wasikupee homa kwa moyo hata kuwa ngaringari
naomba zifikisheni habari kwarika ndomombo
kurukushani za diamondi na Zari zimenipa somo

hatuachani hatuachani hatuachani
mimi naenda(hatuachani) mali cheza rhumba(hatuachani)
mimi naenda mali sakata rhumba(hatuachani)
mi naendali(hatuachani) mali cheza rhumba(hatuachani)
mimi naenda mali sakata rhumba(hatuachani)

wala usijaribu kuwapa nafasi wafukunyu
watakutia aibu zao kubwapwaja kama kasuu
kujifanya taratibu hawana lolote mazumbukwuku
wanamaswahibu waongo ata mwezi mtukufu




usilete mbele kiswavu kwa nyama
wataona gere na kutusakamu
vibwabwa jengere na vipuku vya ngami

Na vikuku vya ngama
Watapiga ndele
Vipate kutukwama
Wao wapae na umbo

Sisi hatujali
Yatawakereketa wavimbe matumbo
Hatuna habari eeh
Wao wapae na umbo
Sisi hatujali

Yatawakereketa wavimbe matumbo
Hatuna habari eeh Eeeh
Naomba zifikisheni habari
Kwa rika ndomombo

Kurukushani za Mondi na Zari Zimenipa somo
Hatuachani, hatuachani,
Hatuachani, mimi naye darling
Hatuachani, darling cheza rhumba

Hatuachani, mimi naye darling
Hatuachani, darling sakata rhumba
Hatuachani, mimi naye darling
Hatuachani, darling cheza rhumba

Hatuachani, mimi naye darling
Hatuachani, darling sakata rhumba Aga,
Rhumba mama rhumba
Tulicheze rhumba
Rhumba mama rhumba

Tulicheze rhumba Rhumba mama rhumba
Tulisakate rhumba Rhumba mama rhumba
Tulicheze rhumba Aga, Tulicheze(rhumba)
Tulisakate(rhumba) Tulicheze(rhumba)
Tulisakate(rhumba) Apo…. Apo.

No comments:

Post a Comment