CHANDA CHEMA LYRICS BY DARASSA FT.MARIOO
tell me now what you do for the love
what you do for the love
give it up give it up for the love
give it up for the love
sijali unapakwa hina unapaka poda
fanya mambo yako nakungoja
moyo umeshataka me nafata order
huwezi kukata kiu maji kisoda
message sent shika kamata
kama unataka mapenzi yako hapa
chaka,chaka,chapa chapa
wakituona wanatapatapa
umeweka kambi maeneo haya
wanasema ua zuri limetoa pabaya
never die,never expire
tusichezee mapenzi yamoto fire
na kama mapenzi safari
me kwako nshafika napokwenda
au kama bahari oo basi nifunze kuogelea
naungekuwa mchezo usiwe kamari
au kubeba maji kwenye tenga
leo mbele yako nakula kiapo
walahi mie sina mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(chaa kuvikwa na pete)
walahi mie sioni mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(cha kuvikwa na pete)
walahi mie sina mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(chaa kuvikwa na pete)
walahi mie sioni mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(cha kuvikwa na pete)
tell me now what you do for the love
what you do for the love
give it up give it up for the love
give it up for the love
hii miba nachechemea for my woman
bahari nitaogelea for my woman
a real man care for the woman
na nnaweza kukosea kama human
nitakufanyia changes,
ntakupatia mapenzi
nitakutungia tenzi nikuimbie
nikusifie ,ujisikie uko na mie
sogea nikuambia
siwezi acha kiti chakomtu akalie
siwezi vunja moyo wako sitaki uumie
yes i do .i'm telling the truth
my heart and my life all i give it to you
na kama mapenzi safari
me kwako nshafika napokwenda
au kama bahari oo basi nifunze kuogelea
naungekuwa mchezo usiwe kamari
au kubeba maji kwenye tenga
leo mbele yako nakula kiapo
walahi mie sina mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(chaa kuvikwa na pete)
walahi mie sioni mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(cha kuvikwa na pete)
walahi mie sina mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(chaa kuvikwa na pete)
walahi mie sioni mwingine tena
(wakufanya nicheke)
na kama chanda we ndo chema
(cha kuvikwa na pete)
tell me now what you do for the love
what you do for the love
give it up give it up for the love
give it up for the love
shika kamata ...
yako hapa chapa chapa
wakituona wanatapatapa
(the mix killer)
never die never expire
tusicheze mapenzi yamoto fire
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
kuthi hhuu! [feel pressure of the Air (Spirit)] Zonke ezam Xa zibuya uzozibona [When My squad returns you’ll see] Banomoya. [They a...
-
Ekoti te ( you missed the shot). Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj Mopao the border of death, take a photo) Tutu Roba Ve...
-
Where to go I do not know Looking for answers why I do not know You are no longer listening You are no longer interested You are ...
No comments:
Post a Comment