NDEGELE LYRICS BY RICH MAVOKO


[Intro]
Ayaa

[Verse 1]
Nimechili na wanaa (Ehh na wanaa)
Skani kopa kabanaa (Ehh Tunachoma)
Kuna mtoto ananyama (Sheeh too fine now)
Usiombe akichutamaa (Ehh lawama)
Unacheki my wallet budget
Usiwaze kuhusu money
Leo me nimebet nikadent
Nimepoint mtumbani

Welele mama igwee
Toroka fanya ujee
Ili goma lisitue
Lazima tu lipigwe

Huku nawaka kwakwajeroo
(oyaaa)
Waliobanwa kwenye karoo
(Maboyaa)

[Chorus]
(Ngegele) Tam Tam
(Ndegele) Ongeza mizukaa
Jipindee pinukaa (Ndegele)
Msamba pasuka (Ndegele)
Mamaa (Ndegele)
Rukaa (Ndegelee)
Tupa magongoo (Ndegelee)
Cheza kikongoo (Ndegelee)
Pinda Mugongo (Ndegelee)

[Verse 2]
She make me kolo yo mama yoo
Na body na reliyoo
Stim za upolo
Ukimtazama yoo unanyonga na reliyoo

Agwelenaa agwelenaa
Umenibariki kimokoo
Agwelenaa agwelenaa
Kamusuku kamusoko

Una bodi (bodi)
Unaweteka madingii
Hilo bodii (Bodii)
Shape kama shangingii

Nipe mpaka kuchu kuchu (Ndegele)
Nilambe Nyaya Mpaka Chuchu (Ndegele)
Njo Ushike na mututuu (Ndegelee)
Nisugue mpaka nitoke kutuu (Ndegelee)

[Chorus]
(Ndegelee)
Tam Tam
(Ndegele)
Ongeza mizukaa (Ndegele)
Jipindee Pinukaa (Ndegele)
Msamba pasuka (Ndegele)
Mamaa (Ndegele)
Rukaa (Ndegelee)
Tupa magongoo (Ndegelee)
Cheza kikongoo (Ndegelee)
Pinda Mugongo (Ndegelee)

[Bridge]
(Acha kucheza kama pop watu wote watakushangaa)
(Acha kucheza kama pop watu wote watakushangaa)

[Verse 3]
Weitaa
too fine oh mama
Total am loosing my mind
Kabisa nyang’a nyang’a
Nashika natawanya (Ah eh)

too fine oh mama
Total am loosing my mind
Kabisa nyang’a nyang’a
Nashika natawanya

[Chorus]
(Ndegele)
Tam Tam
(Ndegele)
Ongeza mizukaa
Jipindee Pinukaa (Ndegele)
Msamba pasuka (Ndegele)
Mamaa (Ndegele)
Rukaa (Ndegelee)
Tupa magongoo (Ndegelee)
Cheza kikongoo (Ndegelee)
Pinda Mugongo (Ndegelee)

No comments:

Post a Comment