HUKU LYRICS BY SHO MADJOZI


Iya,iya iya
Iya,iya iya
sho madjozi

kwani unataka madjozi ama nini
mbona mwataka nasema napenda lakini
yeye haniamini
anaweza akashinda kifungo ata mia mbili
na hanipigii ,hivi nasema itabidi aongee na mimi
lakini hajisikii,
kusubiri mimi kweli sitaweza
naona unanifeel ,lakini huwezi kunionyesha
sasa mimi nikihisi unanipenda
uliponiambia na ndio maana nilienda ah

(chorus)
ah ,hukuniambia ,huku hukuniambia
nambia ,huku hukunambia
nambia ,huku hukunambia
nambia ,huku hukunambia
hukunambia kwamba we unanipenda
hujunambia huku huku,
hukunambia kwamba wewe utaniweza

hukunambia huku huku
huku huku

sasa ukiniona na watu unakasirika
roho inakupiga,usiku uliniona natembea na arika
lakini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia
ata akiba watu wanasema nikuonyeshe uache kujificha

kusubiri mimi kweli sitaweza
naona unanifeel ,lakini huwezi kunionyesha
sasa mimi nikihisi unanipenda
uliponiambia na ndio maana nilienda ah

(chorus)
ah ,hukuniambia ,huku hukuniambia
nambia ,huku hukunambia
nambia ,huku hukunambia
nambia ,huku hukunambia
hukunambia kwamba we unanipenda
hujunambia huku huku,
hukunambia kwamba wewe utaniweza

hukunambia huku huku
huku huku




No comments:

Post a Comment