SIKOMI LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ


{Verse 1}
wanasemanga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
niliposikia gabari
yakisifika nikakesha nangojea ah
Akabariki jalali na nikawika muziki
Nikautea
Ile kumpaka maka
Nikajia ndio kwa gomo movi
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Nikama tango natia tu chumyi
Mwenzenu nikaoza haswa
na kuitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi

mmh
wivu ukanifanya nikagomban na marafiki
ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
Moyo ukanambia Naseeb sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Esma ananambia mdogo wangu mapenzi basi
Ila nang'ang'ania
nikiumizwa na huyu kesho mwingine

{cHORUS}
Ooh mboni sikomi sikomi sikomi
licha ya mateso haya
Najiuliza oh sikomi
Oh sikomi mbona (Sikomi)
Mbona jamani sikomi
Licha ya mateso haya ah
mmmh

{Verse 2}
Aliyonifanyia wa central
Akia-mungu siyawezi sema
Ila nimejifunza kesho siwaamini sinema
Moyo walinipatia mateso
Siwezi kumeza siwezi tema
mana sikushanga ile ghafla
toka ccm kwenda chadema
wanasema kitanda ukitandika sharti ukikalie
nikajitia ukamanda yatakwisha
wacha nivumilie kilakiza kikitanda
ndo visa machozi mi nilie
Penzi yakatia parapanda
Kuwaita waje washambulie
aah acha na penny we darling
nilomuhongaga gari aliponambia ana mimba
mwisho wa siku akaichomoa chali

Molah akanitunuku Zari
Akanizalia dume na mwali
Nilivomjinga nika-cheat aibu mpaka
Kwa vyombo vya habari
Moyo unanambia Naseeb sasa mapenzi basi
Ila nag'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Laizer ananambia simba mapenzi basi
Ila nang'ang ania nikiumizwa na huyu kesho na mwingine

{Chorus}
Ooh mbona sikomi
Mbona Sikomi
Mboona jamani sikomi
Licha ya mateso haya
Nishafumaniwa oh sikomi
Nikafumaniwa mimi(Sikomi)
Nishapambana na watu (Sikomi)
Licha ya mateso haya ah

{Outro}
Mateso mama
Ayo Laizer

No comments:

Post a Comment