NIACHE LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ



[Verse 1]
Mmh
Eti nikuombee mema na baraka uzidi fanikiwa
Siwezi kamwe waah
mmh ni sawa na kuifosi sinema kuitazama
na haijanivutia lazima tu ntalala
Ooh na kwa barabara ukipita
Nenda kulia ukiniona kushoto
Sitaki ata tuonane
Mmh Usije wala ukanita donda vilia
Utanchoteatu moto nisije nkutukane
mmh usije wala ukanita donda vilia
Mmh kinacho niumiza nafsi
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
Kumbe mapenzi sabato
akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa
We cementi me mchanga
nkasema mapenzi tujenge lisije loa
najitiya mkadalasi naezeka mabati
Wachini kenchi unabomoa niache

[Chorus]
Niache, Niache
Nia…che, (Oh Niache)
Niache, (Nipambane na moyo wangu)
Niache, Niache
(Moyo wangu unahasira)
Nia….che
Niache

[Verse 2]
mmh najitahidi silaki kwenye kitaanda
Huenda nkapunguza ndoto zako
mmh
mwilini nina machale utazani mwanga
yote kusahau uwepo wako
mmh
laitikama ungekua gari
ningekugonga barabarani
ama nyuki ntoe asali
nkung’ate sura wasitamani
hivi we ungo ulivuja mwali
ama ulivunja sahani
kuniundia matimu kwa mitandao
Vijembe vya kazi gani
kinacho niumiza nafsi
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
Kumbe mapenzi sabato
akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa
We cementi me mchanga
nkasemamapenzi tujenge lisije loa
najitiya mkadalasi naezeka mabati
Wachini kenchi unabomoa niache

[Chorus]
Niache (Ohh Niache)
Niache, Moyo Wangu unahisi
Nia…che, na ukae mbali
Niache, (Ohh Niache)
Niache, Usiwapigie rafiki zangu
Niache, Usiwapigie rafiki zangu
Nache usithibutu hata
Nia….che, Niache

[Outro]
mmh ntakudanganya kwa tabasamu
ntakudanganya kwa kucheka
ntakudanganya hata kwa salam
ila moyoni nakuchukia
ntakudanganya kukufollow
ntakudanganya kucomment
ntakudanganya kulike picha
ila siwezi kukuzibia

No comments:

Post a Comment