SINA LYRICS BY HARMONIZE


Wasaaafi
Ayo Laizer
Oooh ooooh
Ujana ni maji ya moto
Yashaniuguza mi nataketea
Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea
Na kama dunia tambaa na langu lishatoboka
sina hata pa kulala nakesha kwa Kimboka
Wale marafiki niliokula nao
Na kunisifu sasa siwaoni
Ati sina kiki siendani nao kwa kuwa sina kitu mfukoni
Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Napumua karadhi

Ohh sina(ooh yani sina)
Ohh sina(wa kunipa imani)
Ohh sina(ooooh sina)
Oooh sina
Iyeyeee
Ohh sina(hata wa kunifariji)
Ohh sina(kunipa moyo niendelee)
oooh sina(Oooh sina)
Ohhh sina
Oooiyee

 Mmmmh
Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia
Misemo ya wahenga
Familia ndugu lawama
Sikutaka kukaribia kwangu
Nipokee
Ponda mali ati kufa kwaja
Heheheeee
Kumbe nivukako mbali navunja daraja
Jua likizama nafsi nanyongea mawazo
Nani nimpe lawama
Peke yangu naongea hamnazo

Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Napumua karadhi

 Ohh sina(ooh yani sina)
Ohh sina(wa kunipa imani)
Ohh sina(ooooh sina)
Oooh sina
Iyeyeee
Ohh sina(hata wa kunifariji)
Ohh sina(kunipa moyo niendelee)
oooh sina(Oooh sina)
Ohhh sina
Oooiyee

Pesa pesa
Pesa Pesa
Pesa Pesa
Pesa pesa
Pesa pesa
Pesa mfano wa poto zinapepea sare ndo sindano
Chunga yasije ya majoto
Tena tekea nijenge mifano

No comments:

Post a Comment