KOSA LANGU LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ

VERSE 1
Barua yako ulioituma kwa recab docomo nimeisoma
ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenichoma
niliyoyategemea tofauti na nlicho kiona
hata naandikia hii barua huku royo yangu inansonona
umesema nchane nguo,hiyo funguo umeirudisha sawa,
simu niziekee kituo,na sio chaguo,nikome kabisa sawa
umesema hata ile picha nzuri nlokukumbatia nifute sawa
ila kinacho niumiza mbona moja umeseahau
kosa langu kosa langu hujanambia
donda moyo ndani yangu, naumia
kosa langu kosa langu hujanambia
donda moyo ndani yangu, naumiaaaaa
umekuwa kama ndoto,faraja moto ila hujaliona
naponda mpaka kokoto, napata msoto,inaniuma
ona yule,na pesa ulimpatia, kiwanja ukamnunulia,na gari ya kutembelea,akakumbia
yule,na pesa ulimpatia, kiwanja ukanunulia,na gari ya kutembelea,akakumbia
Mbona ukanichimbia kaburi ningali bado mzima
nife nizikwe vizuri nipotee kabisaa kimyaa
licha matendo mazuri upendo na heshima
watu wakachochea tanuri ukachoma wangu mtima

VERSE 2
natamani hata ngepata nafasi muda wakati kukutazama
unione hata japo sura unitazame macho yangu
mwenzako himili limenipiga kasi
uliyonitendea yananiumiza nafsi
ulinichoma mwiba wa koo
kukuruduia naona sooooooo
mwenzako hili limenipiga kasi
uliyonitendea yananiumiza nafsi
ulinichoma mwiba wa koo
kukuruduia naona sooooooo
umesema nchane nguo,hiyo funguo umeirudisha sawa,
simu niziekee kituo,na sio chaguo,nikome kabisa sawa
umesema hata ile picha nzuri nlokukumbatia nifute sawa
ila kinacho niumiza mbona moja umeseahau
kosa langu kosa langu hujanambia
donda moyo ndani yangu, naumia
kosa langu kosa langu hujanambia
donda moyo ndani yangu, naumiaaaaa

No comments:

Post a Comment