CHUMA ULETE LYRICS BY RAYVANNY

Nahisi nina bahati mbaya kipi nilicho koseya
Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea
Mifukoni hali mbaya sio kama najitetea
Ile pesa ya kusuka mbona nilikuletea

Mawazo yani yananikolea
Nikupe nini usijepotea
Ndubura yani inanyong’onyea
Lilinde penzi lisije teketea

Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye genge
Nyama tu nikupe million kwani unapika kenge
Si jana tu nimelipa pochi na doti za vitenge
Na si ndo juu ulivyojumua kama una duka mwenge

Chuma ulete we ni chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Kwani nakubadili jina ninakuita Chuma Ulete (x2)

Pesa sio nguvu za milundi kunyenyua jiwe juu chini
Tukitoka unakuja na kundi garama zote juu yangu mimi
Unanasa pesa kama gundi sasa mimi nitumie nini
Kila siku kushona kwa fundi kama mpambaji wa shuli

Eti nguva inaita mara mapande sita
Ushazali umeshika hakuna fashion inakupita eeh
Juzi ulikunja ndita wataka mchele tandi sita
Mama mbona unanitisha kwani unafotulisha

Mawazo yani yananikolea
Nikupe nini usijepotea
Ndubura yani inanyong’onyea
Lilinde penzi lisije teketea

Vitunguu mboga za majani laki tano kwenye genge
Nyama tu nikupe million kwani unapika kenge
Si jana tu nimelipa pochi na doti za vitenge
Na si ndo juu ulivyojumua kama una duka mwenge

Chuma ulete we ni chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Kwani nakubadili jina ninakuita Chuma Ulete (x2)

No comments:

Post a Comment