NDOTO LYRICS BY HON. JAGUAR


kama ni ndoto niliota imekuja kuwa kweli,
kama ni ndoto niliota imekuja kutimika,
imekuja kuwa kweli,

nilianza kitambo nikiwa mtoto mdogo,
nikasema siku moja nitakuja kuwa
maarufu kama ali,mohammed ali,
nikasoma kwa bidii shida nyingi nilipitia,
wakasema ni ndoto yale yote niliyoyasema,
wakasema ni ndoto yale yote niliyoyaota,

nilianza kitambo nikiwatch movie za rambo,
nikasema siku moja ndoto yangu itatimia,
timika ,timika ,timika
ndoto imetimika,
timika ,timika ,timika
imekuja
timika ,timika ,timika

maisha imegeuka sasa nalindwa kama benki,
napata heshima,toka gheto mpaka ikulu
sina bifu nao wanojiita* mifuko imetoboka,
jaguar ndiye komanda ,uliza kamanda,
uliza kamanda,Wanao dhani wame take over,
wacha kwanza wanunue RANGE ROVER
Juu nimewaacha na RANGE
Naye refa ashasema game over

nilianza kitambo nikiwatch movie za rambo,
nikasema siku moja ndoto yangu itatimia,
timika ,timika ,timika
ndoto imetimika,
timika ,timika ,timika
imekuja
timika ,timika ,timika

kama ni ndoto niliota imekuja kuwa kweli,
kama ni ndoto niliota imekuja kutimika,
imekuja kuwa kweli,

ndoto imetimika,
timika ,timika ,timika
imekuja
timika ,timika ,timika



No comments:

Post a Comment