MUZIKI LYRICS BY DARASSA FT.BEN POL


rudi utotoni,husipotembea ukibebwa mgongoni
too far far champion boy,
nite bwana samata eeeh

wanaota mapembe waongezee mkia
na ukinibip tunakupigia,
and let me make one thing clear,
blah blah blah sitaki kusikia
sio simba sio chui sio mamba eeh
ngozi yangu inatosha kujigamba eeeh
na sina maneno ya kwenye kanga
kazi juu ya kazi yaani bamba to bamba
mzaa unaweza kuzaa kizaazaa
sinzia na fegi uchome kibanda
kalale uwote ndoto zako za kitanda
si bado tupo macho mida ya wanga
funga mkanda kaza na kamba,
ama ufate nyaya uchane misamba
pasua miyamba pasua anga
tunasemanga chambua kama karanga

chorus
kesha na muziki,acha maneno weka muziki
ukiwa safi ukiwa up
ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
ye  eeeeh
safari na muziki acha maneno weka muziki
ye  eeeeh
beba unachotaka na ukitaka kucheza cheza muziki

bambata,shika kamata
rumba sakata,
unapo come mchizi shadata
shadata  aah

unataka kukimbia na huna break what do you expect
bongo bongo kwa tambo beki
cheza lokasa ya mbongo huwezi kumeki
watch yourself husije ukaji confuse
mzuka kuruka rege kwenye bluz
huna mchuzi ndio excuse
maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu vingine havitakagi ujuwaji
utajikuta unatandikia watu jamvi
kusumbiria embe chini ya mnazi
kumuelewesha chizi utajipa kazi

funga mkanda kaza na kamba,
ama ufate nyaya uchane misamba
pasua miyamba pasua anga
tunasemanga chambua kama karanga

chorus
kesha na muziki,acha maneno weka muziki
ukiwa safi ukiwa up
ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
ye  eeeeh
safari na muziki acha maneno weka muziki
ye  eeeeh
beba unachotaka na ukitaka kucheza cheza muziki

wanatamani tupotee kwenye map
unapeleka gheto tule tap tap
msaada toja na we don't stop
don't stop we don't stop x2

No comments:

Post a Comment