MOYO LYRICS BY HARMONIZE

uh sauti sina ninamwimbia rumba,
uh rumba ili hasiende mbali ,
nimenaswa na urembo ,
tena ni maji ya shingo ,
nyuma nyuma kama mgambo,
natamani nimwambie,
naogopa michambo,
najipa moyo mawino,
ni result ya upendo,
ninataka niwe naye,
ata wanitese ,waseme mi ni*
kumwacha ndio siwezi ,nimeridhia,
ye ndiye namba moja,
wengine watangoja,
kusema ndio siwezi,ninaumia,


(chorus)
na ninapomwona ,
ole lelelex2
jamani moyo,
ole lelelex2

nikusanye waganga,
zazibar na tanga,
macho yangu hayachoki kutazama,
ukiwa mbali nami,moyo unalipuka,
tatizo langu nashindwa kusema,

 

 

No comments:

Post a Comment